ukikaidi utapigwa2
JF-Expert Member
- Feb 24, 2015
- 15,265
- 29,991
Hawa malaya hua mnawatoa wapi?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hayo malezi ya kizungu mnayotaka ndo yanavuruga maadili. Mtoto wa miaka 7 kuendelea kujikojolea ni upumbavu mtupu na lazima kipigo kihusike.Wote mna changamoto.
Tukianza na wewe, hupaswi kumuadhibu mtoto kwa kujikojolea. Ukweli ni kuwa kukojoa kutakoma baada ya muda. Ungetafuta namna ya kumsaidia, ama aamshwe usiku akakojoe au kuweka vizuia unyevu kupenya kwenye godoro.
Lakini pia, kama unaona ungekuwa na ualakini katika malezi basi usingemruhusu kutoka awali aje na mwanae. Kama alikataa kumpeleka kwa mama yake basi nawe ungekataa kukaa naye.
Tukirudi kwake, hapaswi kukulazimisha umpende mwanae. Upendo huja automatically, haulazimishwi.
Lakini pia, ana akili za kimalaya. Kwamba, unapawa kumhudumia kwa sababu unamtumia. Sijui namna gani unamtumia, ila nadhani ni kulala naye. Kama unamfanyisha kazi basi anastahili mshahara.
Ngono si one side sided. Kila mmoja anawajibika kwa mwingine. Ninyi wote mnafurahia.
Lakini pia, amezidisha mapenzi kwa mwanaye. Mpaka analazimisha mambo ya hovyo. Kutotaka mtoto wa miaka 7 alale mwenyewe ni upuuzi. Mtoto hawezi kulala mwenyewe wala si traumatization. Ni malezi bora kabisa akajilalie mwenyewe.
Kulala na mtoto wa miaka saba ukiwa na mpenzi wako kitanda kimoja ni unyanyasaji. Mtoto wa 7 years ni mkubwa sana. Anaelewa vitu vingi. Kusikia mama yake analia huku anapelekewa pipe, ni unyanyasaji.
Cha msingi hamtawezana. Kila mtu afuate muelekeo wake.
Hana haja ya block huyo mkuu.Navyozidi kusoma ndo naona jinsi hii kenge haifai maishani mwako
Tia block (broku) tafuta mtu mwingine
Huyu mwanamke usikute ukiweka anaguna kimahaba ila baadae linakuja kusema ulikua unalitumia
Sauti ya mrisho Gambo hahahahaHuo mwandiko wake unaonesha huyo Singo maza Kama Ana degree ni ya Chupi.
🤣🤣🤣 anataka kupangiwa chumba 300k🤣🤣🤣🚮
Msiwasingizie wazungu kila kitu bana.Hayo malezi ya kizungu mnayotaka ndo yanavuruga maadili. Mtoto wa miaka 7 kuendelea kujikojolea ni upumbavu mtupu na lazima kipigo kihusike.
Unaweza kuwa sahihi ila unaweza usiwe sahihi,sio Kila mtoto anaacha kukujoa kitandani mpaka waamshwe,Kuna namna baadhi ya watoto unakuta ukimvalisha diper Hadi asubuhi haikojolei,hiyo Hali inaeenda mpaka unaacha kumvalisha anajikuta ndio keshaacha,,,lakini Kuna hao pia wa kuwatrain juhudi za mzazi zinatakiwaKujikojolea sio jambo la hiari ni jukumu la mzazi kumuamsha mtoto hata mara tatu usiku akojoe na sio kumchapa kuna athiri saikolojia ya mtoto.
Sijasoma yote, ila no way mtoto wa miaka 7 kujikojolea ni kawaida, huyu mtoto akijikolea mara moja kwa mwezi sawa ila sio frequently sijui mara 4 kwa week,Wote mna changamoto.
Tukianza na wewe, hupaswi kumuadhibu mtoto kwa kujikojolea. Ukweli ni kuwa kukojoa kutakoma baada ya muda. Ungetafuta namna ya kumsaidia, ama aamshwe usiku akakojoe au kuweka vizuia unyevu kupenya kwenye godoro.
Lakini pia, kama unaona ungekuwa na ualakini katika malezi basi usingemruhusu kutoka awali aje na mwanae. Kama alikataa kumpeleka kwa mama yake basi nawe ungekataa kukaa naye.
Tukirudi kwake, hapaswi kukulazimisha umpende mwanae. Upendo huja automatically, haulazimishwi.
Lakini pia, ana akili za kimalaya. Kwamba, unapawa kumhudumia kwa sababu unamtumia. Sijui namna gani unamtumia, ila nadhani ni kulala naye. Kama unamfanyisha kazi basi anastahili mshahara.
Ngono si one side sided. Kila mmoja anawajibika kwa mwingine. Ninyi wote mnafurahia.
Lakini pia, amezidisha mapenzi kwa mwanaye. Mpaka analazimisha mambo ya hovyo. Kutotaka mtoto wa miaka 7 alale mwenyewe ni upuuzi. Mtoto hawezi kulala mwenyewe wala si traumatization. Ni malezi bora kabisa akajilalie mwenyewe.
Kulala na mtoto wa miaka saba ukiwa na mpenzi wako kitanda kimoja ni unyanyasaji. Mtoto wa 7 years ni mkubwa sana. Anaelewa vitu vingi. Kusikia mama yake analia huku anapelekewa pipe, ni unyanyasaji.
Cha msingi hamtawezana. Kila mtu afuate muelekeo wake.
Kujikojolea sio jambo la hiari ni jukumu la mzazi kumuamsha mtoto hata mara tatu usiku akojoe na sio kumchapa kuna athiri saikolojia ya mtoto.
Huyu sijui ni Dr wa nini, labda wanyamaDr. Unakubaliana mtoto wa miaka Saba kujikojolea?mtoto kuacha kukojoa kitandani wengi kuanzia miaka 3 wenye akili shape ni 2.8....huyo dada analea vibaya mtoto uongo ni dhambi,
🤣🤣🤣🤣🤣JamaniHuyu sijui ni Dr wa nini, labda wanyama
Tena heavy tu, asilete upuuzi,Hayo malezi ya kizungu mnayotaka ndo yanavuruga maadili. Mtoto wa miaka 7 kuendelea kujikojolea ni upumbavu mtupu na lazima kipigo kihusike.
Yan huyo dada ni umbwaaa🤣🤣“Mtoto amepoteza baba analala peke yake?😂😂”
Kuna yatima wa miaka 5 huko duniani anakoroma kabisa anasema nini huyu😂😂