Kuna mambo nilikuwa nafanya wakati wa ujana yananitesa

Hapana asimwambie Mama yake. Anaweza kufa kihoro. Aseme humu humu tu!
 
Umri wangu sasa hivi ni miaka 32.
Kwa sasa una miaka 29.

I hope umepitia hali fulani ya kutamani wanaume wenzio na huwenda hali hiyo ilikupelekea kufanya jambo baya.

Kama unajuta ni jambo zuri na ni hatua njema ya mabadiliko unatakiwa kumove on wewe ni mwanaume mwenzetu.

Kuua
Ushoga.
Kudhulumu hizo ndio dhambi ambazo huwa zinawatia watendaji simanzi lakini still zinafutika na maisha mengine yanaweza kuendelea vizuri.
 
Ngoja nisome pages zote...

Kumne kuna raia katoa uwemba...

Watu sio wazuri
 

Kwisha habari yake..
 
Mkuu ni kitu Gani kinakusibu kiongozi mpaka unatamka hivi, humu hatujuani piga moyo unaweza kumtafuta ata kiongozi wako wa kanisa kama roman unaweza kumuona Padri au paroko mkuu ni hayo tu yote ni maisha, pole sana kama una changamoto unayopitia MWENYEZI MUNGU ATASAIDIA
 
Dalili Za Kutaka Kujiua. Huyu awahiwe.
 
Hawa wanafanya research za mapenzi JF hakuna la maana...ukute upinde na bhangi shisha asituchoshe....tufikirie mambo makubwa ya nchi....aendelee kupiga puri na wajinga wenzie
 
Hongera Sana ndugu,ukiendelea kuteseka itakuwa Safi.
Umetueleza ili tujue unateseka,komaa hivohivo.
Yakizidi jinyonge kabisa ukiona yafaa.Sijatoa ushauri bali nionavyo mm kwamba yakufaa
 
Mkuu ulikuwa unafumuliwa rinda au?

Sis mbona tumeshafanya mambo ya kifala gala Sana na this time tupo famalia and we don't regret it

No matter how u feel wather you Lough or cry life must goes on
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…