Godwin peter
JF-Expert Member
- May 12, 2019
- 360
- 608
- Thread starter
-
- #301
Ndio niliandika sikatai,nilikuwa natafuta njia ya kujitibu na sio kwamba nilikuwa najivunuaUzuri wa JF nyuzi hazifutiki kudadeki
Sisi kama wanaume hatuna cha kukushauri kwenye upuuzi kama huo
Kaka kama wewe ni muislam basi a stronger tend to forgive and weaker tend to revenge meaninglessly.Nime liona Hilo, na najuta kutaka kumsaidia shetani Kama huyu.
Naomba mwenyezi Mungu, amtwange mapigo 7 mazito ibilisi huyu
Nili kufata niku saidie, siku kwambia kapime hormone zako kwanza??Sawa niliandika mwenyewe na hizo zilikuwa ni feelings kama feelings nyingine na pia sikuwahi kutamani nipate feelings kama hizo but ndo hivyo ilikuwa ishatokea na pia sio kwamba ni kitu nilichokuwa najivunia bali nilikuwa naumia pia thats why nilikuja kuandika hmu kutafuta msaada….Sasa mnanihukumu as for me kutafuta msaada
Wewe ila kumbuka una vizazi vyako pia…you never knowUzuri wa JF nyuzi hazifutiki kudadeki
Sisi kama wanaume hatuna cha kukushauri kwenye upuuzi kama huo
Kaka nili mfata Baada ya kuhisi labda ana shida nzito so ana ona Soo kusema.Kaka kama wewe ni muislam basi a stronger tend to forgive and weaker tend to revenge meaninglessly.
Si vizuri bhana kuombeana mabaya hivyo.
Mkuu kama unataka kuniroga niache tu,maaana mambo niliyonayo nahisi nisharogeka,bora uniombee kwa Mungu wako katika mfungo huu anisaidie hizo changamoto zangu ziisheNakurudia Tena, pasipo kukiri kosa, usije uka nilaumu,
utaona utani, ila muda uta ongea🙏
Sasa mbona ume kuja kuni chafua, kisa wema wangu ??.Issue sio suala la hormonies,kama ni hormonies basi zangu za kiume zimezidi…
Ukiona mtu haelekei kutaka msaada unampuuza.Kaka nili mfata Baada ya kuhisi labda ana shida nzito so ana ona Soo kusema.
Akawa ana goma kufunguka, mwisho nika mshauri aende aka pime hospital.
Sasa kosa langu Mimi ni kumuuliza private??,
Ndo nakuambia kama ni dua ni bora ufanye ambayo itanitoa katika hili janga na sio kuniangamiza…it wont help you!!Sasa mbona ume kuja kuni chafua, kisa wema wangu ??.
Wewe angalia, sisi wengine tuna kauli nzuri ma mbaya, usije nichukia bure maishani mwako
wewe huna adabu kabisa, ungekuwa mstaarabu unge kiri kosa la kuchafua watu hovyo.Mkuu kama unataka kuniroga niache tu,maaana mambo niliyonayo nahisi nisharogeka,bora uniombee kwa Mungu wako katika mfungo huu anisaidie hizo changamoto zangu ziishe
Aisee.Unataka kunishauri nini tena wakati ulianza na kejeli kama vile kwenu ukoo wenu mzima hamna shida? Hapo umesema umefunga sijui ramadhani unataka uniombee dua mbaya sijui nini,kama ni dua mbaya kwangu itakuwa ni bure maana ninachopitia ni kama msalaba mzito sana,bora hiyo dua niombee niweze kuvuka kipindi hiki.
Shida mdogo wangu huyo ana dharau, angalia usije ukawa victim wa maneno yakeAisee.
UKo serious na kutaka msaada kaka!?
Mkuu mimi sina dharau,i am very humble guy…Ila pale mtu anaponionesha kejeli wakati i am serious on need of help napata tabu kidogo.Shida mdogo wangu huyo ana dharau, angalia usije ukawa victim wa maneno yake
Mkuu narudia tena,usije niroga….Mambo yangu yenyewe ni mazito sana,naamini hata wewe huwezi beba kikombe hikiShida mdogo wangu huyo ana dharau, angalia usije ukawa victim wa maneno yake
Cha msingi kama umekusudia mwenyewe kuacha kupigwa mboo basi hakikisha unaacha tu Kwa moyo mmoja maana ushoga sio Jambo zuri hata kama ulianza kipindi cha ujana.Habarini za humu wadau,
Mimi ni kijana naishi hapa jijini Dar, nina kazi na ninaishi katika harakati zangu za kila siku.
Sasa kuna mambo ya ujana nilikuwa nafanya sasa hivi yananifikirisha sana, ninawaza sana sina amani nakuwa mnyonge pia.
Hii meseji ni nzito....Mungu ajidhihirishe kwako, akupe haja ya Moyo wako,akuepushe na kikombe hichoMkuu narudia tena,usije niroga….Mambo yangu yenyewe ni mazito sana,naamini hata wewe huwezi beba kikombe hiki