Kuna mambo nilikuwa nafanya wakati wa ujana yananitesa

Kuna mambo nilikuwa nafanya wakati wa ujana yananitesa

Uzuri wa JF nyuzi hazifutiki kudadeki
Sisi kama wanaume hatuna cha kukushauri kwenye upuuzi kama huo
Ndio niliandika sikatai,nilikuwa natafuta njia ya kujitibu na sio kwamba nilikuwa najivunua
 
Sawa niliandika mwenyewe na hizo zilikuwa ni feelings kama feelings nyingine na pia sikuwahi kutamani nipate feelings kama hizo but ndo hivyo ilikuwa ishatokea na pia sio kwamba ni kitu nilichokuwa najivunia bali nilikuwa naumia pia thats why nilikuja kuandika hmu kutafuta msaada….Sasa mnanihukumu as for me kutafuta msaada
Nili kufata niku saidie, siku kwambia kapime hormone zako kwanza??

Mwisho wa siku una kuja kuni chafua hapa, Joannah kijana kakiri makosa
 
Kaka kama wewe ni muislam basi a stronger tend to forgive and weaker tend to revenge meaninglessly.
Si vizuri bhana kuombeana mabaya hivyo.
Kaka nili mfata Baada ya kuhisi labda ana shida nzito so ana ona Soo kusema.

Akawa ana goma kufunguka, mwisho nika mshauri aende aka pime hospital.

Sasa kosa langu Mimi ni kumuuliza private??,
 
Nakurudia Tena, pasipo kukiri kosa, usije uka nilaumu,

utaona utani, ila muda uta ongea🙏
Mkuu kama unataka kuniroga niache tu,maaana mambo niliyonayo nahisi nisharogeka,bora uniombee kwa Mungu wako katika mfungo huu anisaidie hizo changamoto zangu ziishe
 
Kaka nili mfata Baada ya kuhisi labda ana shida nzito so ana ona Soo kusema.

Akawa ana goma kufunguka, mwisho nika mshauri aende aka pime hospital.

Sasa kosa langu Mimi ni kumuuliza private??,
Ukiona mtu haelekei kutaka msaada unampuuza.
Ya nini kumaliza nishati ya akili na fikra kwa jambo lisilostahili??
We unapuuza tu kaka,amekataa unaachana nae.
 
Sasa mbona ume kuja kuni chafua, kisa wema wangu ??.

Wewe angalia, sisi wengine tuna kauli nzuri ma mbaya, usije nichukia bure maishani mwako
Ndo nakuambia kama ni dua ni bora ufanye ambayo itanitoa katika hili janga na sio kuniangamiza…it wont help you!!
 
Mkuu kama unataka kuniroga niache tu,maaana mambo niliyonayo nahisi nisharogeka,bora uniombee kwa Mungu wako katika mfungo huu anisaidie hizo changamoto zangu ziishe
wewe huna adabu kabisa, ungekuwa mstaarabu unge kiri kosa la kuchafua watu hovyo.

Sasa niku shauri kipi??, maana Usha nitukana
 
Unataka kunishauri nini tena wakati ulianza na kejeli kama vile kwenu ukoo wenu mzima hamna shida? Hapo umesema umefunga sijui ramadhani unataka uniombee dua mbaya sijui nini,kama ni dua mbaya kwangu itakuwa ni bure maana ninachopitia ni kama msalaba mzito sana,bora hiyo dua niombee niweze kuvuka kipindi hiki.
Aisee.
UKo serious na kutaka msaada kaka!?
 
Habarini za humu wadau,

Mimi ni kijana naishi hapa jijini Dar, nina kazi na ninaishi katika harakati zangu za kila siku.

Sasa kuna mambo ya ujana nilikuwa nafanya sasa hivi yananifikirisha sana, ninawaza sana sina amani nakuwa mnyonge pia.
Cha msingi kama umekusudia mwenyewe kuacha kupigwa mboo basi hakikisha unaacha tu Kwa moyo mmoja maana ushoga sio Jambo zuri hata kama ulianza kipindi cha ujana.
 
Mkuu narudia tena,usije niroga….Mambo yangu yenyewe ni mazito sana,naamini hata wewe huwezi beba kikombe hiki
Hii meseji ni nzito....Mungu ajidhihirishe kwako, akupe haja ya Moyo wako,akuepushe na kikombe hicho
 
Back
Top Bottom