Pale jamaa alizingua alipaswa kuweka mazingira mazuri kuhakikisha yule Binti anakuwa salama kama alikuwa hawezi ku insure security angepotezeaMnawadanganya mabinti au watoto wa watu, wanavyokuja kubakwa na kulawitiwa, nyie mnakua hampo.
Acheni ubinafsiii, tulieni na wake zenu, mxxxxxiiiiieeeew
Na wale wasiowahi kuingia darasani, hiko kinge wanakijulia wapii?Mimi najua Watu WA aina yako pamoja na uliyemnukuu mnajuaga kingereza.
Ati ndîo njia mnayodhani mkiitumia mtaeleweka
Ingekuwa rahisi hivyo wengi wangekuwa tayari walishaomba na Kutoka
Wajeda wananipenda wao ila mie siwapendiii, wako km 3 niliwatolea njee.Pale jamaa alizingua alipaswa kuweka mazingira mazuri kuhakikisha yule Binti anakuwa salama kama alikuwa hawezi ku insure security angepotezea
Halafu Hawa wajeda hasa wakubwa na wanaofanya kazi makao makuu wengi huwa wanatumia IT wao kudukua mawasiliano ya wapenzi wao (Nimewahi kujua hili) kwa hiyo ukiwa nae kuwa makini sana hasa we cocastic maana unapenda wajeda
Na wale wasiowahi kuingia darasani, hiko kinge wanakijulia wapii?
Kwa Rasi Simba? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mtibeli acha uchokozii, mxxxxxiiiiiiiieeeeew.
Watu hawakurupuki mzee,Ni bora mkaachana, majuto yanakuwa ni makubwa baada ya kutenda tukio..
Nimechekaa had machozii, akhiiii leo umekuajeee kwani?Sijajua Kwa kweli lakini wengi ninaowajua tenà wameishia form four tuu na wale waliofika chuo kikuu walifeli English lakini wanajua kutema ung'eng'e kuliko Sisi.
Najiuliza kûna uhûsiano gàni Baina ya LGBTQ na Kingereza?
Kwa vile upo utanisaidia kunijibu
Basi utakuwa salama maana siku hizi kina mama hawataki kuja kulea familia peke Yao wakiachwa ndio shida inaanzia hapo.Wajeda wananipenda wao ila mie siwapendiii, wako km 3 niliwatolea njee.
Mie Mume wa mtu, kwangu ni sumuu, hata aje na swagga zipii mtamfurusha km pakaa mwiziii, afu ndo mume wa mjeda tena makao makuu? Wee kuwezaaa?
Mume wa mtu Sumu, mke wa mtu kifo. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kaamua kuliwa kwa matakwa yake kwa hiyo kosa ni la kwake.
Nachezaa kwa akilii weyeee!! Kwanza mume wa mtu hanisisimui kivilee.Basi utakuwa salama maana siku hizi kina mama hawataki kuja kulea familia peke Yao wakiachwa ndio shida inaanzia hapo.
Wanawake wangekuwa dhaifu sana mngekuwa mnahonga michepuko hadi kusahau wake wa ndoa na familia?Watu hawakurupuki mzee,
Unakuta unaishi na mwanamke kwa furaha, kuna amani hakuna ugomvi kumbe kuna njemba pembeni na inajua kila kitu
Inamshawishi mwanamke hadi anaanza kumbandua, Wanawake tunajua ni dhaifu sana
Sasa mtu huyu siku akifumwa unadhani anafanywaje ? Hapo maamuzi yanabaki kwa aliyemfuma kuwa atamfanyaje huyu mtu ambae amekuja kuwa kirusi cha furaha yake na ndoa yake.
Walioingia mkataba ndio wanatakiwa kuiheshimu. Sasa kama.unashindwa kuheshimu makubaliano yenu wewe unadhani mtu wa nje ataheshimu.Azingatie na kuheshimu mkataba hicho ndicho ninachokizungumzia.
Matakwa Yake kuliwa au kutokuliwa NI akiwa nje ya mkataba.
Hakuna anayezuia Mtu Kula au kuliwa. Inachosemwa hapa NI Watu waliopo kwèñye mikataba ya mahusiano kuheshimu Mkataba Yao. Na wale ambao hawapo kwèñye mahusiano ya Ndoa kuheshimu mikataba ya Watu. Full stop
Wanaokaidi Kwa utashi waô wasilalamike wakikutana na adhabu zinazotolewa Kwa utashi wa waliowaibia wake au waume
Nimechekaa had machozii, akhiiii leo umekuajeee kwani?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mtibelii acha ukorofii, mxxxiiiieeeeew.
Hii ni hoja mfu kabisa aliyoleta mtibeli.mtibeli.Labda uanzishwe utaratibu wa mwanamke akiolewa apigwe chata kama utambulisho.
Mwanamke hutoka nje ya ndoa kwa utashi wake. Na zipo sababu zinazopelekea yote hayo.
Alicho kiandika mtibeli sio cha kuzingatia maana anahamasisha uvunjifu wa amani.
Aaah! Hii adhabu kali sanaIwekwe Sheria kuwa Kutoka na Mke au Mume WA Mtu NI jinai na adhabu yake íwe Kali angalau jela Miaka 30.
Aliyetoka nje ya Ndoa na hiyo aliyetoka naye wôte wafungwe miaka 30.
Walioingia mkataba ndio wanatakiwa kuiheshimu. Sasa kama.unashindwa kuheshimu makubaliano yenu wewe unadhani mtu wa nje ataheshimu.
Ukiona yalekushinda achana na huyo mtu. Kuanza kukimbizana na watu wengine haitasaidia
Sijui watu huwa wanawaza nini. Ni ukosefu wa akili sijui. Eti u.atafuta genge la wahuni wakamfanyie mtu uhuni. Hao wahuni wenyewe wanaweza hata kukugeuka na wewe pia hata kukuua.Wanawake wangekuwa dhaifu sana mngekuwa mnahonga michepuko hadi kusahau wake wa ndoa na familia?
Huko kwenda kuua au kumlawaiti mwanaume mwenzako kwa sababu katembea na mke wako ndio udhaifu wenyewe wa akili.
Single kama Mimi nipo usiende kwa mme wa mtu acha wachukuane wao kwa wao na sisi kwa sisi😜Nachezaa kwa akilii weyeee!! Kwanza mume wa mtu hanisisimui kivilee.
Kuna vitu huwa nawazagaa, inakataaa sana, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Aaah! Hii adhabu kali sana