Tetesi: Kuna mashaka Bandarini. Serikali itoe tamko ya kinachoendelea ili kama yanayoripotiwa ni tetesi yasilete taharuki

Duuu! Walisema wafanyakazi hawataondolewa, na wataendelea na kazi, hivyo HAKI zao kulindwa. Sasa vipi tena? [emoji134][emoji54][emoji134][emoji54][emoji134][emoji54]
 
Sidhani kama hizi taarifa nizaukweli...
Kazi inasimamishwa kwa documents.. sio kwa mdomo brother
 
Ndio maana jana niliona meli zimekuwa nyingi sana zinazosubiri kuingia bandarini, samia na genge lake ni wahujumu uchumi wa Tanganyika, tuamke usingizini
 
Stupidity of DP WORLD, hata kama ni kuvunja mikataba ilipaswa kuvunjwa kwa awamu kidogo kidogo ili kutoathiri biashara ya bandari...........
 
Duuu! Walisema wafanyakazi hawataondolewa, na wataendelea na kazi, hivyo HAKI zao kulindwa. Sasa vipi tena? [emoji134][emoji54][emoji134][emoji54][emoji134][emoji54]
Hata jk alisema mgao utakua historia baada ya gesi kupatikana.
 
Kwa hiyo wenzio wakikosa kazi wewe fresh tu
Hata kama ni ww ungekuwa tiyari kufanya kazi na watu ambao asilimia 80 ya muda wa kazi wanautumia kwenye chai,lunch, na kutongozana?
 
Duuu kwa hiyo ni kweli wafukuzwe ikiwezekana na wachapwe viboko kabisa
😄😄 Wewe bwana na hiyo adhabu ya viboko, unaniacha hoi...huwataki kabisa wafanyakazi wa bandari!!!!
Hahah
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…