The silent smile
Senior Member
- Jul 17, 2025
- 124
- 206
Ukila haya yasiyoiva kwa wingi jiandae na constipation.Tunda nisilo lipenda kuliko yote duniani ni stafeli na tunda ninalo penda niView attachment 3450195
Nikweli, yanafanana sana hiyo aina, ila topetope ndo nlikuwa nalikusudia. Dahh, yaan hadi nikiandika jina lake udenda wanitoka maana nina muda sijalilaHongera kwa kulipenda stafeli lakini hili ni tofauti na topetope.
Stafeli la kijani na Lina kama mibamiba kwa juu huku stafeli likiwa la kijani chakavu likiiva linabadili rangi kwenda unjano, wekundu kutegemeana na breed.
Stafeli ni tamu saana... uliloweka kwenye picha ni stafeli.
Doooh, we nomaLimao
Ndo tunda la mti gani hiloKibumbu
Ohooo, stafeli hujajua utamu wake asee, hilo pera mimi nikila nakulaga ganda lake tuu, tunda zake sithubutu🤣Tunda nisilo lipenda kuliko yote duniani ni stafeli na tunda ninalo penda niView attachment 3450195
Mimi nikiona mti wa mpera naacha ninapo kwenda nakaa chini naanza yatafuna😅Ukila haya yasiyoiva kwa wingi jiandae na constipation.
Hahah stafeli najua ladha yake na mimi siipendi.Ohooo, stafeli hujajua utamu wake asee, hilo pera mimi nikila nakulaga ganda lake tuu, tunda zake sithubutu🤣
Fenesi tatizo ule utomvu na sukar nyingi, mimi nikilaga nyama zake 5 tuu nishatosheka, huku nilipo yanaozeaga juu ya miti yake, na wala sinaga muda nayoMimi huwa nakula sana fenesi nilinunua morogoro3 moja nikalila mara2 tu nilihalisha sana... na yalikuwa makubwa bahati nzuri au mbaya wana familia liliwashinda hivyo yote3 nilimaliza mwenyewe...
Ilifikia mahala hata nikiamka saa8 usiku halafu yake tu ikinijia naenda jikoni kula
Nikweli, warekebishe ieleweke maana nlijaribu kuedit lakin heading hai editikiMods mko busy kufuta nyuzi tu rekebisheni basi badala ya Matunza iwe matunda
Dahh, hapo mwenye mpera akija anakutana na mabichi tuu🤣🤣Mimi nikiona mti wa mpera naacha ninapo kwenda nakaa chini naanza yatafuna😅