Kuna matunda mengi sana, ila mimi nalipenda zaidi hili... Je wewe unapenda lipi zaidi?

Kuna matunda mengi sana, ila mimi nalipenda zaidi hili... Je wewe unapenda lipi zaidi?

Naombeni munipe utofauti katika haya matunda matatu,
Mimi nilikuwa najua kuwa Stafeli ndio topetope, ila natazama mtandaoni naona kama nlikuwa wrong.

Je, topetope hapa ni lipi na stafeli ni lipi,
images (20).jpeg
Screenshot_20250823_172457.jpg
images (20).jpeg
images (1).jpeg
 
Kuna stafeli, bokwe na tomokwa ...Haya ni matunda maarufu sana ,kila kona huku yamepandwa ila watu wanasema miti yake inafukuza wachawi.
Kumbe, ila mimi napendelea hilo keenye picha lenye glass ya juice pemben, loooh 😋
 
Back
Top Bottom