Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sitaki kutaja majina ila tetesi zilizopo ni kuwa
1 : Mkuu wa taasisi nyeti ya Serikali mmoja ataondolewa
2: Mawaziri wa baadhi ya wizara kupanguliwa.
Ni kutokana na mkuu analalamika mambo hayaendi kama anavyotaka yaende.
My take: pole yenu mtakaopatwa na mtikisiko.
Stay tuned
huoni hela hazionekani hadi mwenyewe analalamika watu wamefichaacha ujinga wewe huoni nchi iko hali jojo?
Bandarini(FLOW METER)mwanzoni mwa awamu hii Raisi na PM walitembelea bandari na kugundua mafuta yanapakuliwa bila kuhesabiwa.hadi jana apita tena bado mita hizo hazifanyi kazi!!!!!!!Nikuulize mleta mada, je ni mambo gani hayaendi sawa? Usipojibu swali hilo basi utakuwa umechanganyikiwa
Hata baada ya miaka mitano nayo inaitwa ni siku yoyote.
Jaribuni basi hata kuleta umbea wenye andiko fikirishi na siyo huu wa kiwango cha darasa la nne.
Kuna habari zimetapakaa hapa mjini kuwa Rais Makufuri anatarajia kupangua Baraza la Mawaziri siku yoyote kuanzia sasa.
Imeelezwa sababu za Rais kupangua Baraza hilo ni kuwafuta kazi baadhi ya mawaziri ambao wameshindwa kwenda na kasi ya Hapa Kazi Tu hivyo ameona bora awabwage baadhi ya mawaziri mizigo badala ya kuendelea kuing'ang'ania kuwabeba.
Hii itakuwa ni mara ya pili Rais kuwafuta kazi mawaziri tangu alipomfuta kazi Waziri Charles Kitwanga kwa sababu ya kulewa akiwa kazini. Mtangulizi wake Rais Kikwete alibadili Baraza la Mawaziri zaidi ya mara 8 kwa sababu mbalimbali zikiwemo kashfa maarufu za Richmond, Operesheni Tokomeza na Escrow.
Tusubiri tuone ni kina nani watakaopitiwa na panga hili la Makufuri na nani watapenya kwenye tundu la sindano. Kuna kila dalili kwamba kuna baadhi ya mawazi watafutwa kazi kwa sababu ya ama kumdanganya rais au kutojituma ipasavyo kwenye nafasi zao. Je, unaweza kutabiri nani atakuwa wa kwanza kupitiwa na panga hili?
Nawasilisha
Duh! Kwani wewe kasi unayoijua ni ipi?Et wameshindwa kwenda na kas yake. Kwani anakasi gani sasa uyo mkurupukaji?
Dah! Kumbe umbea nao una darasa? Basi waliofika chuo kikuu watakuwa hatariiii!!!!Hata baada ya miaka mitano nayo inaitwa ni siku yoyote.
Jaribuni basi hata kuleta umbea wenye andiko fikirishi na siyo huu wa kiwango cha darasa la nne.