Kuna member mmoja maarufu sana hapa JF akisema ukweli wake kuhusu Simba SC, wana Simba wanampuuza

Kweli nae kaona maneno yasiwe mengi kawa mnafiki tu ili awafurahishe wana simba, lakini tunashika maneno yake ya mwanzo aliposema simba msimu huu pia ni mbovu hayo ndio tunaenda nayo
 
wana simba sc wangekuwa wanamwelewa hata wasingeshangaa kwanini wanafungwa kila mara na watani zao yanga sc
 
Back
Top Bottom