Nyamwi255
JF-Expert Member
- Dec 2, 2022
- 4,848
- 12,776
Hahahaha...kumbe unakuwaga mpole hivi game changer ๐ ๐kwakuwa nawaona nanyi mnaipenda basi nami pia nimelazimika kuipenda kama nyie. jamaa sijui ana kizizi cha kukubalika...!!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahahaha...kumbe unakuwaga mpole hivi game changer ๐ ๐kwakuwa nawaona nanyi mnaipenda basi nami pia nimelazimika kuipenda kama nyie. jamaa sijui ana kizizi cha kukubalika...!!
game changer ndiyo nani tena ndugu?Hahahaha...kumbe unakuwaga mpole hivi game changer ๐ ๐
Ndo huyo huyo charismatic fella ๐game changer ndiyo nani tena ndugu?
charismatic fella ndiyo nani tena huyu ndugu?Ndo huyo huyo charismatic fella ๐
Ndo huyo huyo pure talented ๐charismatic fella ndiyo nani tena huyu ndugu?
๐๐Ni mwendo wa ku switch ID na kujisifia
Rashidi kujiita chidi ๐ ๐ ๐Ni mwendo wa ku switch ID na kujisifia
Abdul na Dulla ni wamojaNa baada ya kujua kuwa wana Simba SC wa jamiiforums wanapenda kusikia unafiki basi nae pia amekuwa mnafiki tu.
Jamaa anajikatia tu mipande ya nyama.Ni mwendo wa ku switch ID na kujisifia
Anatuchulia wote sie wakazi i wa kaweJamaa anajikatia tu mipande ya nyama.
ID karibia 10! Zote za kwake. Yaani anatuona wote humu jukwaani ni mapopoma eti. ๐
Huyo pacha yako Nyamwi225 hajambo?Pure talented,,, charismatic fella,,game changer and entartaier ๐ ๐ ๐
Hahahaha hajambo anamshukuru allah ๐๐Huyo pacha yako Nyamwi225 hajambo?
Mwambie nampemda sana aachane na raara reeree mm nipoHahahaha hajambo anamshukuru allah ๐๐
Anauliza We ni mweusi au mweupeee..?Mwambie nampemda sana aachane na raara reeree mm nipo
mzoeeni huyo huyo mume wenu mnayemtqa hapa na siyo mimi sawa? kama mmezoea kumiminiwa nae hadi kutwa mnajipendekeza kwake basi siyo mimiAnatuchulia wote sie wakazi i wa kawe