Hahahaha...kumbe unakuwaga mpole hivi game changer π πkwakuwa nawaona nanyi mnaipenda basi nami pia nimelazimika kuipenda kama nyie. jamaa sijui ana kizizi cha kukubalika...!!
game changer ndiyo nani tena ndugu?Hahahaha...kumbe unakuwaga mpole hivi game changer π π
Ndo huyo huyo charismatic fella πgame changer ndiyo nani tena ndugu?
charismatic fella ndiyo nani tena huyu ndugu?Ndo huyo huyo charismatic fella π
Ndo huyo huyo pure talented πcharismatic fella ndiyo nani tena huyu ndugu?
ππNi mwendo wa ku switch ID na kujisifia
Rashidi kujiita chidi π π πNi mwendo wa ku switch ID na kujisifia
Abdul na Dulla ni wamojaNa baada ya kujua kuwa wana Simba SC wa jamiiforums wanapenda kusikia unafiki basi nae pia amekuwa mnafiki tu.
Jamaa anajikatia tu mipande ya nyama.Ni mwendo wa ku switch ID na kujisifia
Anatuchulia wote sie wakazi i wa kaweJamaa anajikatia tu mipande ya nyama.
ID karibia 10! Zote za kwake. Yaani anatuona wote humu jukwaani ni mapopoma eti. π
Huyo pacha yako Nyamwi225 hajambo?Pure talented,,, charismatic fella,,game changer and entartaier π π π
Hahahaha hajambo anamshukuru allah ππHuyo pacha yako Nyamwi225 hajambo?
Mwambie nampemda sana aachane na raara reeree mm nipoHahahaha hajambo anamshukuru allah ππ
Anauliza We ni mweusi au mweupeee..?Mwambie nampemda sana aachane na raara reeree mm nipo
mzoeeni huyo huyo mume wenu mnayemtqa hapa na siyo mimi sawa? kama mmezoea kumiminiwa nae hadi kutwa mnajipendekeza kwake basi siyo mimiAnatuchulia wote sie wakazi i wa kawe