Kuna meseji nzito imemchangaya jamaa yangu

Habari za saa hizi ndugu zangu.
Kuna ndugu anahitaji ushauri kidogo mimi nimeshindwa cha kumjibu labda nyie mnaweza mkamsaidia kwa mawazo

KIUFUPI
Jamaa ana binti ambaye ana marengo naye, ila binti huyo anasoma kwahiyo jamaa amesubiri binti amalize masomo yake ili aweze kufanya michakato michakato ya ziada katika mahusiano, Sasa kilichomchanganya jamaa ,Ametumiwa sms ikisema hivi NANUKUU
(("Naomba ucpanc....Hv huoni kuwa nakupotezea tyme then nakuchelewexhea malengo make....mm xtr bado nasoma....then nastay masomoni for a long tyme....?)).,,,,

Sasa jamaa haelewi amjibuje?,,,maana ameona kama ni Alama nyekundu inamuwakia ivi

NAWASILISHA NDUGU ZANGU
Heri kubaki na PENGO kuliko jino BOVU..

Asimjibu kabisa hapo jamaa aendelee na maisha yake tu wala asimbembeleze huyo mtoto!!

Ogopa sana hivi vibinti vinavyoandika xx, jomoni, tyu, xaw, cana, veepe, n.k ni vinakuaga na utoto mwingi na akili zile za kulengesha kama unaset dish la azam kutafuta signal..
 
Huyu dada anasoma wapi asee kwa uandishi huo?

Anyway Pole nimeenda nje ya mada
Atakua anasoma IFM pale!
255744401031_status_fcf4c1e5a3a14d5b9e6e3d2930fa014e.jpg
 
Hakuna mtu wa marengo hapo na hakuna mwanafunzi, aache kudate vitu vya ajabu.
 
(("Naomba ucpanc....Hv huoni kuwa nakupotezea tyme then nakuchelewexhea malengo make....mm xtr bado nasoma....then nastay masomoni for a long tyme....?)).,,,,

Kama huu ndio muandiko wake huyo binti basi huyo rafiki yako hapaswi kulaumu bali anapaswa kushukuru tu.
 
Habari za saa hizi ndugu zangu.
Kuna ndugu anahitaji ushauri kidogo mimi nimeshindwa cha kumjibu labda nyie mnaweza mkamsaidia kwa mawazo

KIUFUPI
Jamaa ana binti ambaye ana marengo naye, ila binti huyo anasoma kwahiyo jamaa amesubiri binti amalize masomo yake ili aweze kufanya michakato michakato ya ziada katika mahusiano, Sasa kilichomchanganya jamaa ,Ametumiwa sms ikisema hivi NANUKUU
(("Naomba ucpanc....Hv huoni kuwa nakupotezea tyme then nakuchelewexhea malengo make....mm xtr bado nasoma....then nastay masomoni for a long tyme....?)).,,,,

Sasa jamaa haelewi amjibuje?,,,maana ameona kama ni Alama nyekundu inamuwakia ivi

NAWASILISHA NDUGU ZANGU
Chuo gan hicho yan still ndo xtr😂😂😂😂
 
Back
Top Bottom