Kuna meseji nzito imemchangaya jamaa yangu

Katika uandishi wangu situmiagi herufi x. Halafu siwezi andika Marengo mimi badala ya malengo.

Hata hivyo huu mwaka nishasema sitakuwa na kuumizwa maana nimepata tulizo na nafsi,roho,akili na mwili.
Ngoja tuone.

Usije kupandisha uzi hapa soon
 
Ngoja tuone.

Usije kupandisha uzi hapa soon
Sawa.
Halafu waambie hao wanaomshauri jamaa amuache huyo demu ni uzwazwa!..
Mi naona hiyo meseji ya manzi kama inamtego ndani yake ni upeo wa kuwaza tu.
 
Kwa huo muandiko jamaa asonge tu mbele kama injili
Hallelujah
 
Huo mwandiko tu wa SMS binafsi ungenifanya nimpige chini...mtu anayeandika hivyo huwa nawaona hawajakomaa akili

Mxamehe xana mkuu xio makoxa yake
It’s still 5th of January [emoji38][emoji38][emoji38]
 
Habari za saa hizi ndugu zangu. Kuna ndugu anahitaji ushauri kidogo mimi nimeshindwa cha kumjibu labda nyie mnaweza mkamsaidia kwa mawazo

KIUFUPI
Jamaa ana binti ambaye ana marengo naye, ila binti huyo anasoma kwahiyo jamaa amesubiri binti amalize masomo yake ili aweze kufanya michakato michakato ya ziada katika mahusiano, Sasa kilichomchanganya jamaa ,Ametumiwa sms ikisema hivi NANUKUU

(("Naomba ucpanc....Hv huoni kuwa nakupotezea tyme then nakuchelewexhea malengo make....mm xtr bado nasoma....then nastay masomoni for a long tyme....?"))

Sasa jamaa haelewi amjibuje? Maana ameona kama ni alama nyekundu inamuwakia hivi

NAWASILISHA NDUGU ZANGU
Hivi kweli una date mtu anaeandika namna hiyo? Aina ya uandishi wake unaashiria kwamba huyo binti hajitambui kabisa, halafu eti ni mwanafunzi, aibu kabisa.
 
Iv bado kuna wakuda wanasubir bint amalize chuo daaah piga mimba amalizie semester uku analea
Habari za saa hizi ndugu zangu. Kuna ndugu anahitaji ushauri kidogo mimi nimeshindwa cha kumjibu labda nyie mnaweza mkamsaidia kwa mawazo

KIUFUPI
Jamaa ana binti ambaye ana marengo naye, ila binti huyo anasoma kwahiyo jamaa amesubiri binti amalize masomo yake ili aweze kufanya michakato michakato ya ziada katika mahusiano, Sasa kilichomchanganya jamaa ,Ametumiwa sms ikisema hivi NANUKUU

(("Naomba ucpanc....Hv huoni kuwa nakupotezea tyme then nakuchelewexhea malengo make....mm xtr bado nasoma....then nastay masomoni for a long tyme....?"))

Sasa jamaa haelewi amjibuje? Maana ameona kama ni alama nyekundu inamuwakia hivi

NAWASILISHA NDUGU ZANGU
 
Habari za saa hizi ndugu zangu. Kuna ndugu anahitaji ushauri kidogo mimi nimeshindwa cha kumjibu labda nyie mnaweza mkamsaidia kwa mawazo

KIUFUPI
Jamaa ana binti ambaye ana marengo naye, ila binti huyo anasoma kwahiyo jamaa amesubiri binti amalize masomo yake ili aweze kufanya michakato michakato ya ziada katika mahusiano, Sasa kilichomchanganya jamaa ,Ametumiwa sms ikisema hivi NANUKUU

(("Naomba ucpanc....Hv huoni kuwa nakupotezea tyme then nakuchelewexhea malengo make....mm xtr bado nasoma....then nastay masomoni for a long tyme....?"))

Sasa jamaa haelewi amjibuje? Maana ameona kama ni alama nyekundu inamuwakia hivi

NAWASILISHA NDUGU ZANGU
Asimjibu akae kimya
 
Sawa.
Halafu waambie hao wanaomshauri jamaa amuache huyo demu ni uzwazwa!..
Mi naona hiyo meseji ya manzi kama inamtego ndani yake ni upeo wa kuwaza tu.
mtego gani huo...ebu tusaidie kuutegua kwa faida ya wengi
 
Kwa kifupi huyo demu ameshapata type yake. Huko mavyuo kuna mazito wajameni. Huwa nawahurumia sana wenye wapenzi wao chuo na wakiamini wako salama salimini. 90% wanaliwa vizuri tu tena wengine wanatoa mpk kinyume na maumbile
 
Back
Top Bottom