Kuna meseji nzito imemchangaya jamaa yangu

Ukiona limeiva jua ndo lishaanza kuoza Ivo....
Mwambie tu ukweli Binti ndo ameshapepea huyo, ni yeye tu ndo hakuwa na taarifa...
Usisahau kumpa pole pia
 
Habari za saa hizi ndugu zangu.
Kuna ndugu anahitaji ushauri kidogo mimi nimeshindwa cha kumjibu labda nyie mnaweza mkamsaidia kwa mawazo

KIUFUPI
Jamaa ana binti ambaye ana marengo naye, ila binti huyo anasoma kwahiyo jamaa amesubiri binti amalize masomo yake ili aweze kufanya michakato michakato ya ziada katika mahusiano, Sasa kilichomchanganya jamaa ,Ametumiwa sms ikisema hivi NANUKUU
(("Naomba ucpanc....Hv huoni kuwa nakupotezea tyme then nakuchelewexhea malengo make....mm xtr bado nasoma....then nastay masomoni for a long tyme....?)).,,,,

Sasa jamaa haelewi amjibuje?,,,maana ameona kama ni Alama nyekundu inamuwakia ivi

NAWASILISHA NDUGU ZANGU
Nilioa mwanamke mwingine haraka sana. Alliyewahi kunitumia meseji kama hii Hadi leo kabakia nungayembe.
Usijiue daka kimwana Mpya chap tangaza ndoa.
 
Kafika terminal magufuri ashuke achukue daladala za bonyokwa. Imeisha hiyo safari
 
Mapenzi Bana unanikumbusha wakati Niko chuo nilikuwa na demu wangu anasoma form Six Alikuwa wife material haswa mtoto katulia full dini nilikuwa nampenda vibaya naniikajiekea future baadae aje kuwa mke. kuna siku alinitumia message

Mpenzi tuachane Kwa sasa tafadhali na tuvunje mahusiano labda nikimaliza shule ntafikiria tunaweza kurudiana. Basi Mzee kila nikipiga simu haipokelewi kila nikipiga simu hapokei weak ikapita nikaona isiwe kesi nikaachana nae.

Matokeo yalipo toka Form Six akafeli vibaya mno hata kuelezea aibu niliposikia nikasitika Sana Maisha ya kaendelea na sikutaka kuyarudisha Mapenzi kwake Ila mpaka Leo kuna ule msemo unasema mwanaume anapenda mara moja katika Maisha ya mahusiano mpaka Leo hatotokea mwanamke atakaefikia Mapenzi niliyotokea kumpenda huyo mwanamke nasikuwahi kuwa na Mapenzi yadhati tena na mwanamke yoyote mpaka Leo nilimpenda Ila nilimpiga chini.

Piga chini endelea na Maisha yako mkuu.
 
Habari za saa hizi ndugu zangu.
Kuna ndugu anahitaji ushauri kidogo mimi nimeshindwa cha kumjibu labda nyie mnaweza mkamsaidia kwa mawazo

KIUFUPI
Jamaa ana binti ambaye ana marengo naye, ila binti huyo anasoma kwahiyo jamaa amesubiri binti amalize masomo yake ili aweze kufanya michakato michakato ya ziada katika mahusiano, Sasa kilichomchanganya jamaa ,Ametumiwa sms ikisema hivi NANUKUU
(("Naomba ucpanc....Hv huoni kuwa nakupotezea tyme then nakuchelewexhea malengo make....mm xtr bado nasoma....then nastay masomoni for a long tyme....?)).,,,,

Sasa jamaa haelewi amjibuje?,,,maana ameona kama ni Alama nyekundu inamuwakia ivi

NAWASILISHA NDUGU ZANGU
Msomi anaandika x badala ya s, Hakuna mwanamke hapo
 
Kwa muandiko huo asimjibu, mambo yake amuachie mwenyewe...
 
Demu ameona bora abaki na Mirinda kuliko kujistress na huyo mwanaume.
 
Habari za saa hizi ndugu zangu.
Kuna ndugu anahitaji ushauri kidogo mimi nimeshindwa cha kumjibu labda nyie mnaweza mkamsaidia kwa mawazo

KIUFUPI
Jamaa ana binti ambaye ana marengo naye, ila binti huyo anasoma kwahiyo jamaa amesubiri binti amalize masomo yake ili aweze kufanya michakato michakato ya ziada katika mahusiano, Sasa kilichomchanganya jamaa ,Ametumiwa sms ikisema hivi NANUKUU
(("Naomba ucpanc....Hv huoni kuwa nakupotezea tyme then nakuchelewexhea malengo make....mm xtr bado nasoma....then nastay masomoni for a long tyme....?)).,,,,

Sasa jamaa haelewi amjibuje?,,,maana ameona kama ni Alama nyekundu inamuwakia ivi

NAWASILISHA NDUGU ZANGU

Watu hawapendi kuambiwa ukweli halafu wakidanganywa nako wanaishia kulialia

Halafu style yenyewe ya uandishi sasa😂😂

(("Naomba ucpanc....Hv huoni kuwa nakupotezea tyme then nakuchelewexhea malengo make....mm xtr bado nasoma....then nastay masomoni for a long tyme....?)).,,,,
 
Habari za saa hizi ndugu zangu.
Kuna ndugu anahitaji ushauri kidogo mimi nimeshindwa cha kumjibu labda nyie mnaweza mkamsaidia kwa mawazo

KIUFUPI
Jamaa ana binti ambaye ana marengo naye, ila binti huyo anasoma kwahiyo jamaa amesubiri binti amalize masomo yake ili aweze kufanya michakato michakato ya ziada katika mahusiano, Sasa kilichomchanganya jamaa ,Ametumiwa sms ikisema hivi NANUKUU
(("Naomba ucpanc....Hv huoni kuwa nakupotezea tyme then nakuchelewexhea malengo make....mm xtr bado nasoma....then nastay masomoni for a long tyme....?)).,,,,

Sasa jamaa haelewi amjibuje?,,,maana ameona kama ni Alama nyekundu inamuwakia ivi

NAWASILISHA NDUGU ZANGU
Aliyetumiwa huo ujumbe kama ni mwanaume hakika atakuwa ameshafanya maamuzi.

Kama ni wa kiume yaani anaiga uanaume basi aendelee kusubiri ushauri kwa sababu hata akijakufunga ndoa atakua ameiolea jamii na si kwa minajili ya kuanzisha familia yake
 
anasoma seco auu aisee mambo ya kusubiri ayoo utakuja kulia mamayo embu tafuta mwanamke uoe mambo ya kusubiri itakula kwako
 
Huyo binti anasoma level gani ya elimu? Kama ni vyuo mwambie amuoe kiwa chuoni aone majibu yake. Kama akileta longolongo basi amwache tu.

Lakini binti kaongea ukweli wake, huenda anamfikiria mwanaume muda wa kumsubiri ni mkubwa anamuhurumia.
 
Habari za saa hizi ndugu zangu.
Kuna ndugu anahitaji ushauri kidogo mimi nimeshindwa cha kumjibu labda nyie mnaweza mkamsaidia kwa mawazo

KIUFUPI
Jamaa ana binti ambaye ana marengo naye, ila binti huyo anasoma kwahiyo jamaa amesubiri binti amalize masomo yake ili aweze kufanya michakato michakato ya ziada katika mahusiano, Sasa kilichomchanganya jamaa ,Ametumiwa sms ikisema hivi NANUKUU
(("Naomba ucpanc....Hv huoni kuwa nakupotezea tyme then nakuchelewexhea malengo make....mm xtr bado nasoma....then nastay masomoni for a long tyme....?)).,,,,

Sasa jamaa haelewi amjibuje?,,,maana ameona kama ni Alama nyekundu inamuwakia ivi

NAWASILISHA NDUGU ZANGU
Hapo jamaa yako ajue kuwa, Manzi wake anafyatuliwa na wahuni huko anakosoma,na inaonyesha amekolea sana kwa hao masera.
 
Huyo binti anasoma level gani ya elimu? Kama ni vyuo mwambie amuoe kiwa chuoni aone majibu yake. Kama akileta longolongo basi amwache tu.

Lakini binti kaongea ukweli wake, huenda anamfikiria mwanaume muda wa kumsubiri ni mkubwa anamuhurumia.
Yupo six,A-level
 
Back
Top Bottom