Kuna meseji nzito imemchangaya jamaa yangu

Heri kubaki na PENGO kuliko jino BOVU..

Asimjibu kabisa hapo jamaa aendelee na maisha yake tu wala asimbembeleze huyo mtoto!!

Ogopa sana hivi vibinti vinavyoandika xx, jomoni, tyu, xaw, cana, veepe, n.k ni vinakuaga na utoto mwingi na akili zile za kulengesha kama unaset dish la azam kutafuta signal..
 
Hakuna mtu wa marengo hapo na hakuna mwanafunzi, aache kudate vitu vya ajabu.
 
(("Naomba ucpanc....Hv huoni kuwa nakupotezea tyme then nakuchelewexhea malengo make....mm xtr bado nasoma....then nastay masomoni for a long tyme....?)).,,,,

Kama huu ndio muandiko wake huyo binti basi huyo rafiki yako hapaswi kulaumu bali anapaswa kushukuru tu.
 
Chuo gan hicho yan still ndo xtrπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…