Enemy of the People
Member
- May 30, 2021
- 16
- 15
Nilioa mwanamke mwingine haraka sana. Alliyewahi kunitumia meseji kama hii Hadi leo kabakia nungayembe.Habari za saa hizi ndugu zangu.
Kuna ndugu anahitaji ushauri kidogo mimi nimeshindwa cha kumjibu labda nyie mnaweza mkamsaidia kwa mawazo
KIUFUPI
Jamaa ana binti ambaye ana marengo naye, ila binti huyo anasoma kwahiyo jamaa amesubiri binti amalize masomo yake ili aweze kufanya michakato michakato ya ziada katika mahusiano, Sasa kilichomchanganya jamaa ,Ametumiwa sms ikisema hivi NANUKUU
(("Naomba ucpanc....Hv huoni kuwa nakupotezea tyme then nakuchelewexhea malengo make....mm xtr bado nasoma....then nastay masomoni for a long tyme....?)).,,,,
Sasa jamaa haelewi amjibuje?,,,maana ameona kama ni Alama nyekundu inamuwakia ivi
NAWASILISHA NDUGU ZANGU
Ni yeye [emoji2]Pole sana mkuu halafu usiogope kusema ni wewe tukusaidie mkuu kimawazo
Msomi anaandika x badala ya s, Hakuna mwanamke hapoHabari za saa hizi ndugu zangu.
Kuna ndugu anahitaji ushauri kidogo mimi nimeshindwa cha kumjibu labda nyie mnaweza mkamsaidia kwa mawazo
KIUFUPI
Jamaa ana binti ambaye ana marengo naye, ila binti huyo anasoma kwahiyo jamaa amesubiri binti amalize masomo yake ili aweze kufanya michakato michakato ya ziada katika mahusiano, Sasa kilichomchanganya jamaa ,Ametumiwa sms ikisema hivi NANUKUU
(("Naomba ucpanc....Hv huoni kuwa nakupotezea tyme then nakuchelewexhea malengo make....mm xtr bado nasoma....then nastay masomoni for a long tyme....?)).,,,,
Sasa jamaa haelewi amjibuje?,,,maana ameona kama ni Alama nyekundu inamuwakia ivi
NAWASILISHA NDUGU ZANGU
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Chuo gan hicho yan still ndo xtr[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Habari za saa hizi ndugu zangu.
Kuna ndugu anahitaji ushauri kidogo mimi nimeshindwa cha kumjibu labda nyie mnaweza mkamsaidia kwa mawazo
KIUFUPI
Jamaa ana binti ambaye ana marengo naye, ila binti huyo anasoma kwahiyo jamaa amesubiri binti amalize masomo yake ili aweze kufanya michakato michakato ya ziada katika mahusiano, Sasa kilichomchanganya jamaa ,Ametumiwa sms ikisema hivi NANUKUU
(("Naomba ucpanc....Hv huoni kuwa nakupotezea tyme then nakuchelewexhea malengo make....mm xtr bado nasoma....then nastay masomoni for a long tyme....?)).,,,,
Sasa jamaa haelewi amjibuje?,,,maana ameona kama ni Alama nyekundu inamuwakia ivi
NAWASILISHA NDUGU ZANGU
[emoji23][emoji23][emoji23]Ni kazi kwel kwel.
Aliyetumiwa huo ujumbe kama ni mwanaume hakika atakuwa ameshafanya maamuzi.Habari za saa hizi ndugu zangu.
Kuna ndugu anahitaji ushauri kidogo mimi nimeshindwa cha kumjibu labda nyie mnaweza mkamsaidia kwa mawazo
KIUFUPI
Jamaa ana binti ambaye ana marengo naye, ila binti huyo anasoma kwahiyo jamaa amesubiri binti amalize masomo yake ili aweze kufanya michakato michakato ya ziada katika mahusiano, Sasa kilichomchanganya jamaa ,Ametumiwa sms ikisema hivi NANUKUU
(("Naomba ucpanc....Hv huoni kuwa nakupotezea tyme then nakuchelewexhea malengo make....mm xtr bado nasoma....then nastay masomoni for a long tyme....?)).,,,,
Sasa jamaa haelewi amjibuje?,,,maana ameona kama ni Alama nyekundu inamuwakia ivi
NAWASILISHA NDUGU ZANGU
Hapo jamaa yako ajue kuwa, Manzi wake anafyatuliwa na wahuni huko anakosoma,na inaonyesha amekolea sana kwa hao masera.Habari za saa hizi ndugu zangu.
Kuna ndugu anahitaji ushauri kidogo mimi nimeshindwa cha kumjibu labda nyie mnaweza mkamsaidia kwa mawazo
KIUFUPI
Jamaa ana binti ambaye ana marengo naye, ila binti huyo anasoma kwahiyo jamaa amesubiri binti amalize masomo yake ili aweze kufanya michakato michakato ya ziada katika mahusiano, Sasa kilichomchanganya jamaa ,Ametumiwa sms ikisema hivi NANUKUU
(("Naomba ucpanc....Hv huoni kuwa nakupotezea tyme then nakuchelewexhea malengo make....mm xtr bado nasoma....then nastay masomoni for a long tyme....?)).,,,,
Sasa jamaa haelewi amjibuje?,,,maana ameona kama ni Alama nyekundu inamuwakia ivi
NAWASILISHA NDUGU ZANGU
Yupo six,A-levelHuyo binti anasoma level gani ya elimu? Kama ni vyuo mwambie amuoe kiwa chuoni aone majibu yake. Kama akileta longolongo basi amwache tu.
Lakini binti kaongea ukweli wake, huenda anamfikiria mwanaume muda wa kumsubiri ni mkubwa anamuhurumia.