Kuna meseji nzito imemchangaya jamaa yangu

Hapo jamaa yako ajue kuwa, Manzi wake anafyatuliwa na wahuni huko anakosoma,na inaonyesha amekolea sana kwa hao masera.
Inawezekana mkuu...maana kuna siku jamaa ashawai ambiwa na demu kwamba kuna ticha anaposomea anamsumbua sana
 
Huwa nashangaa sana, mnaposema eti ukimpelekea moto kisawasawa ndio dawa ya kutokuacha, kuna mambo zaidi ya hayo, labda hilo la dawa, kama lipo!!lakini eti moto kwa kizazi hiki cha sasa?!!
 
Hapo hamna shida mbona.

Wanawake wanapenda assurances za mara kwa mara.
 
Kama mambo madogo Kama Hilo unashindwa kutatua Kwa mwenendo huu tutapata katiba mpya kweli.
 
Sasa mwanamke mwenyewe ana mwandiko wa namna hyo anataka ampeleke wapi? Atakuwa anavaa na vile vindala vya manyoya[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
 
Kwa sisi wahasibu tunasema kuwa ,count loss kwenye hiyo business.
 
Imemchanganyaje wakati inaeleweka hatakiwi????
 
Anasoma memkwa huyu dada uandishi gani huu wa kijinga
 
Mkuu namshauri aachane nae haraka sana... akijifanya anag'ang'ania itakuja mkost hoyo manzi tyr anamtu mwingine wala jamaa asipoteze muda hapo... ila wakishapigwa na maisha wanarudigi kwa sura za huruma..
Ni bora apate maumivu kidogo kwa sasa kuliko yatakayo mpata kwa kulazimisha kuwa nae..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…