Gustavo Gaviria
JF-Expert Member
- Nov 19, 2018
- 630
- 1,113
Ngoja tuone.Katika uandishi wangu situmiagi herufi x. Halafu siwezi andika Marengo mimi badala ya malengo.
Hata hivyo huu mwaka nishasema sitakuwa na kuumizwa maana nimepata tulizo na nafsi,roho,akili na mwili.
Sawa.Ngoja tuone.
Usije kupandisha uzi hapa soon
Hahaa kwahyo ashikilie hapohapo?Sawa.
Halafu waambie hao wanaomshauri jamaa amuache huyo demu ni uzwazwa!..
Mi naona hiyo meseji ya manzi kama inamtego ndani yake ni upeo wa kuwaza tu.
Anaekutega mtege mpk nawe ujue hila yake huo ni mchezo wa sokoban kaupeo kadogo tu kanahitajika.Hahaa kwahyo ashikilie hapohapo?
Huo mwandiko tu wa SMS binafsi ungenifanya nimpige chini...mtu anayeandika hivyo huwa nawaona hawajakomaa akili
Hivi kweli una date mtu anaeandika namna hiyo? Aina ya uandishi wake unaashiria kwamba huyo binti hajitambui kabisa, halafu eti ni mwanafunzi, aibu kabisa.Habari za saa hizi ndugu zangu. Kuna ndugu anahitaji ushauri kidogo mimi nimeshindwa cha kumjibu labda nyie mnaweza mkamsaidia kwa mawazo
KIUFUPI
Jamaa ana binti ambaye ana marengo naye, ila binti huyo anasoma kwahiyo jamaa amesubiri binti amalize masomo yake ili aweze kufanya michakato michakato ya ziada katika mahusiano, Sasa kilichomchanganya jamaa ,Ametumiwa sms ikisema hivi NANUKUU
(("Naomba ucpanc....Hv huoni kuwa nakupotezea tyme then nakuchelewexhea malengo make....mm xtr bado nasoma....then nastay masomoni for a long tyme....?"))
Sasa jamaa haelewi amjibuje? Maana ameona kama ni alama nyekundu inamuwakia hivi
NAWASILISHA NDUGU ZANGU
It's over !!! Tell him to move forward.
Ndo wanavyoandika sikuhizi, tena wengine wanachukua Bachelor's Degree kabisa.Huyu dada anasoma wapi asee kwa uandishi huo?
Anyway Pole nimeenda nje ya mada
Habari za saa hizi ndugu zangu. Kuna ndugu anahitaji ushauri kidogo mimi nimeshindwa cha kumjibu labda nyie mnaweza mkamsaidia kwa mawazo
KIUFUPI
Jamaa ana binti ambaye ana marengo naye, ila binti huyo anasoma kwahiyo jamaa amesubiri binti amalize masomo yake ili aweze kufanya michakato michakato ya ziada katika mahusiano, Sasa kilichomchanganya jamaa ,Ametumiwa sms ikisema hivi NANUKUU
(("Naomba ucpanc....Hv huoni kuwa nakupotezea tyme then nakuchelewexhea malengo make....mm xtr bado nasoma....then nastay masomoni for a long tyme....?"))
Sasa jamaa haelewi amjibuje? Maana ameona kama ni alama nyekundu inamuwakia hivi
NAWASILISHA NDUGU ZANGU
Mxamehe xana mkuu xio makoxa yake
It’s still 5th of January [emoji38][emoji38][emoji38]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hata chuo bado, huyo mwanaume afanye yake aachane na kidampa.Yupo six,A-level
Asimjibu akae kimyaHabari za saa hizi ndugu zangu. Kuna ndugu anahitaji ushauri kidogo mimi nimeshindwa cha kumjibu labda nyie mnaweza mkamsaidia kwa mawazo