Tetesi: Kuna mgawanyiko mkubwa ndani ya CHADEMA kuhusu kuacha kuhudhuria vikao vya Bunge. Kuna fukuto la chini kwa chini

Wewe acha ukichaa Rais huwezi mlinganisha na Mbunge!! Rais ni nembo ya nchi analindwa sana tu kama kuna tatizo lolote nchini yeye anakuwa wa mwisho kuumizwa unafikiri Rais anatakiwa kuwa mbele? Haijawahi tokea duniani labda kwenye Saccos ya Chadema!
 
Hata kama wabunge wa CHADEMA wasingeamua kuchukua hatua ya kujitenga na vikao vya bunge, bado ingebaki kuwa uamuzi sahihi bunge kubadili namna ya kuendesha vikao.

Hivi unahitaji ishara gani kuamini kuwa ndani ya bunge kutakuwa na maambukizi ya kutosha tu!

Nina mashaka Tanzania tuna tatizo la kimsingi tusilolijua na kwamba utatuzi wake ni mgumu au sintofahamu isiyo mithilika.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Acha uongo kuwa mkweli. Labda hauko kwenye group la wabunge wa Chadema mkuu cheki Mh. Jafal Michael kawaambia nini kama kweli upo kwenye group hilo?

Hamna hata issue kubwa alikuwa wanasema kwa nini sisi wenye uwezo wa kununua mask na sanitizer ndio tukae home?
 
Selasini,kubenea na komu we mwenyewe siunajua ni ccm B ya Bwana Mbatia!!. Msalie MTULIA yupo Bungeni kwelii?
 
Kama kawaida usingesema neno tofauti na hilo kwa kuwa unalishea matango pori.

Kauli na hoja zako mara nyingi huwakilisha jina la ID yako Retited ndani na nje ya uwewe na nafsi yako. MTU MZIMA HOVYOOOO!
Sina kulemba, what is Rubbish is Rubbish! What is Excellent is Excellent! have a nice weekend, Jifukizie na fuata WHO guidelines!
 
Hata kama wangekuwa wengi kiasi gani Mbunge ni Mwakilishi wa Wananchi sasa kama yeye anakimbia vita sasa nani ataongoza mapigano kwa wapigakura wao??
Mbona magufuli yuko chato amejificha?
 
Wabunge ni watu wazima, viongozi walioaminiwa na wananchi, wakapewa dhamana ya kuwawakilisha kwenye chombo cha kutunga sheria na kuisimamia Serikali, wanapaswa kuwa na maamuzi binafsi ya mfano wa kuigwa walio wachaguwa.

Mbowe, kama Mbunge na KUB, na M/Kiti wa Chama Kikuu cha Upinzani, angepaswa kutumia madaraka hayo kuwasilisha hoja yake hiyo bungeni, badala ya kutoa maagizo kupitia vyombo vya habari.

Kwa agizo hilo na njia aliyoitumia, Mtukufu Mbowe ameonesha dharau ya wazi kwa viongozi wenzake, Bunge, Wanachama wa CHADEMA, wapiga kura, na Watanzania wote kwa ujumla. Mbowe, pia ameonesha makucha yake ya udikteta. Yumkini ndiyo maana viongozi wanahama chama CHAKE.

Mtukufu Mbowe, anathibitisha kuwa mtu hatari kwa amani katika Taifa. Kauli na matendo yake ni wazi yanahusika, pasipo shaka sasa, na matukio mbalimbali ya uhalifu ndani ya chama CHAKE km kupotea, kupigwa risasi na hata la maandamano haramu yaliyosababisha kifo cha Akwilina.

Selasini, Mb, wakati akitangaza kukihama chama cha Mtukufu Mbowe amedokeza machache tu ya kumhusu. Tutegemee mengi machafu na maovu ya kutisha kutokea ndani ya CHADEMA na jamii, kwenye uenyekiti wa Mtukufu Mbowe.
 
Mbooe anapewa hela 500000 na 1m na kila mbunge. Hata asipohudhuria vikao Hana anachokosa. Wabunge wa cdm wakigoma kumhonga atabadika.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hakuna wa kumpangia DJ chama ni mali yake ni Kama Sacco's tu yake hakuna wakuhoji ukienda kinyume na matakwa yake kufukuzwa uwanachama Kuna kuhusu ukiwa na bahati anakutenga Kama selasini
 
Chairman atabaki peke yake kwenye chama, udktetea Tumechoka
 
Wanatumia Nguvu kubwa Kwasababu hawakubiliki na Wananchi hao Chadema
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…