Hali ni mbaya bungeni
Na madaktari, manesi na wauguzi nao wasemaje?
Vyombo vya ulinzi na usalama nao wasemaje?
Ohoo wabunge wanakufa na corona bungeni
Mpo 363 alafu hamtaki mtu afe mnataka afe nani?
Corona ipo tu kila kona kwani mtoto wa mbowe alipata corona akiwa bungeni?
Makamanda wanakimbia vita
Alafu wanataka wapewe nchi
Likitokea tena janga kama ili si watajifungia ndani chama kizima, polisi, madaktari, manesi, wauguzi, madereva wa ambulance, wafanya biashara sokoni, wauza maduka
Kusema kweli ukimkabidhi chama mwanamke alafu ndio asimamie mambo makubwa ni lazima mtaferi tu
Mbowe kamkabidhi chama halima mdee na Ester bulaya lazima tu mferi...
Unakwenda kuwafungia ndani makamanda kwa madai ya kwamba wajiweke karantini sasa ole wenu tuwaone mmekaa bar...
Sent using
Jamii Forums mobile app