Tetesi: Kuna mgawanyiko mkubwa ndani ya CHADEMA kuhusu kuacha kuhudhuria vikao vya Bunge. Kuna fukuto la chini kwa chini

Tetesi: Kuna mgawanyiko mkubwa ndani ya CHADEMA kuhusu kuacha kuhudhuria vikao vya Bunge. Kuna fukuto la chini kwa chini

Sugu anatakiwa akae chini ku bagain na Keep Calm.. Keep calm agombee Mbeya mjini, Sugu asogee Chunya hapo au Mbarali au hata Rungwe...(am not sure kama hayo yote ni majimbo) in an exchange for support.. Otherwise ategemee kivumbi.
Ahaha mfn Sugu Ndio kwisha Habari yake
 
Kuna fukuto kubwa Ndani ya chadema kuwa uamuzi wa chairman wa Chadema kuamua wabunge wote wa Chadema waingie karantini zimeleta sintofahamu kwa wabunge wengi wa chama hicho

Baadhi ya wabunge wa Chadema wamelalamika kutokushirikishwa katika maamuzi yaliyochukuliwa na chairman Mbowe
Kuna wabunge wa Chadema wanalalamika kuburuzwa kila mara, Wengi wanaona kutokuhudhuria vikao vya bajeti ni kama kuwasaliti wapiga kura wao

Kwa inavyoonekana Chadema ni km bomu linalosubiria kulipuka

My take :chairman kuwa mwanademokrasia acha maamuzi ya kibabe lasivyo chama kitasambaratika
Kiherehere kitakuua
 
Mbowe ni muhujumu uchumi akamatwe mara moja

Anawakata wabunge pesa nyingi na leo amewakataza wasihudhurie vikao huu ni uonevu
Mbowe inajulikana afya yake ni mgogoro, anataka kuwalazimisha mpaka wabunge walioko fiti wafuate matakwa yake
 
Bia yetu weka vielelezo.
Kwanza ilitakiwa ueleze wazi (declare interest) kuwa wee ni mwana CCM kindakindaki, na ilitakiwa uweke video clip ili tukuamini, kinyume Cha hapo, ni propaganda tu

Kila mtu ana shida zake, kuna wengine wanategemea hiyo posho wamalizie madeni yao, sasa unapomzuia bila kumsaidia kulipa deni unamuachia umasikini, maana nyumba zao zitaondoka, tusubili.
 
Sugu hawezi kuchaguliwa tena namshauri ahamie Ccm

Back
Top Bottom