Kuna mikutano ya siri kutuondoa watu weusi duniani

Acha tuondolewe tu hatuna cha kupoteza
Acha tuondolewe tu hatuna cha kupoteza
 
Umeongea ujinga mno. Mzungu ndio namba 1 anaetamani tufutike. Hiyo ya Corona ni natural immunity ya waAfrika imeplay part, hizo chanjo ni utapeli na hakuna aliyechoma zaidi ya wajinga wachache..
 
baada ya kufanya utafiti mwafrika anauwezo wa ajabu wa uvumbuzi iwapo atasapotiwa mwafrika akiwa nje ya bara la afrika ni jinius wa kufa mtu.kinachofanya tusifanikiwe nch za afrika ni sera za kirafi za viongoz wetu maana wanaamini ili umtawale mtu mnyime ufahamu na nguvu ya kipesa.kwanza sikubaliani na wewe kwamba mfirika hana msaada wowote kwanza hufatili vumbuz za waafrika wenzako kama hana akili alivumbuaje ndege,pedi,cctv camera,helikopta,boti,moto,sindano za hospitalini,trafic light ,bulb ,chipsi .n.k...fatilia historia yako ujijue.
 
Kama mikutano hii ni ya siri, ww umepata wapi hizi taarifa, au ww nawe ni mmoja kati ya wanaoshiriki kwenye mikutano hii. Na kama ni kweli unachozungumza basi tupe ushadi. Otherwise Acha ujinga wakutaka kuianzisha hiyo vita unayoitaja.
 
Mzee hizi mambo siyo kweli hizi taarifa za kwamba weusi tukigundua kitu sijui inakuaje kuaje hizi mambo hazipo, Wewe na familia yako Gundua kitu cha maana uone kama hujawa iconic Tz na Duniani kote. Shida ni kwamba tumekalia kufanya mambo yasiyo natija, vijana wanataka mafanikio ya chap chap plus tumeendekeza ngono, social media zinaharibu watoto, watoto badala yakufikiria masomo na innovations mbalimbali wanafikiria mambo yaajabu tu, mambo yaajabu ajabu tu, imagine hadi hii leo tunapamba kuzuia ndoa za utotoni kweli…! While unapamba na ndoa za utotoni wenzetu wanapambana kufika mwezini.
 
Tatizo la Africa ni uongozi wa juu wa population ya wazee (baby boomers), wengi wao walishuhudia ukoloni na kuchapwa bakora na wazungu na wengi pia walizaliwa bush na kuishi kimaskini, njaa kali shule walienda peku peku, hawa baby boomers weusi ni ovyo kabisa, ni malimbukeni na washamba, gari la ofisi la millioni 400 linapita kwenye barabara za vumbi, hawa madingi hawana akili kabisa za maendeleo wana akili za ufisadi na kula bata tu, hawa wakifa in 50 years to come Allahu Aalam na Africa ikaongozwa na generation M, Z na Alpha wasio na akili za masifa, mambo yatakuwa bling bling. Kwasasa hatuna jinsi ni hadi wote kina Balthazar waishie mavumbini.

Haya madingi kila siku yanaenda uzunguni na hayafanyi kwao yanachojifunza huko, mf barabara za katikati ya mji huko uzunguni katikati ya barabara kuna reli zinapitisha treni za kusaidia usafiri, sijaona nchi Africa imefanya hivyo kazi kujaza waongoza magari wanaopendelea upande mmoja, kweli Africa akili ndogo, idadi ya watu inakua kwa kasi mara mbili kila baada ya miaka kumi (2012 - 40m, 2022 - 60m, 2032 - 120m) na raia wapya wananunua magari ila barabara zetu ni zile zile, haziongezeki what a poor race!! Gen Z watakosa pa kupitisha magari!! Foleni itafika chalinze!! Mf jiji la Dar linahitaji kila barabara kubwa juu yake kuwe na barabara zingine hata mbili ifikapo 2050 ili kuendana na ongezeko kubwa la watu.

Thomas Malthus anazungumzia family planning kupunguza watu huko uzunguni ili rasilimali zitoshe, sisi watu weusi tunajaza raia, mtu maskini anazaa watoto 10 na kuomba usaidizi kwa ndugu kulipiwa Ada za shule za wanawe na msipotoa lawama na chuki kibao!!

DNA nyeusi ina shida hii.
 
Mtu mweusi ndiye mtu anayeongoza kwa kuzaa duniani, kawaacha wengine kwa mbali sana.

Unamuondoaje duniani sasa?

Kwa kasi ya kuzaana ya sasa watu weupe wanaweza kufutika kabla ya weusi duniani.
 
Watanzania mnalilia watu wenye akili waendeshe nchi. Shida ni kwamba hata mkiwekewa mtu mwenye akili mbele yenu amuwezi mjua.

Tafsiri yetu ya akili ni shahada, sio uelewa wa mtu kwenye subject mattter kwa kumsikiliza tu.

Ndio maana nchi imejaa viongozi wenye mashahada, ukiwasikiliza wakidadavua mambo on subject matter ni empty sets.

Nchi sio maskini kwa bahati, ni kwamba asilimia kubwa ya watu wenye nafasi hawana uwezo, it’s simple as that.
 
Wao wenyewe wanafahamu gene ya mtu mweusi ndiyo inayo balance nature, wakituondoa Dunia inafika mwisho...watajaribisha wapi madawa Yao yakujitibia kabla hawajayatumia?
 
Wao wenyewe wanafahamu gene ya mtu mweusi ndiyo inayo balance nature, wakituondoa Dunia inafika mwisho...watajaribisha wapi madawa Yao yakujiyibia kabla hawajayatumia?
Sub Sahara Africa in export almost $371 billion of primary goods (commodities) duniani. Imports ni $379 billion,

$371 billion of primary goods on the value addition chain si ajabu inakuwa na thamani ya $3 trillion plus madeni ya IMF/WB/market sources (assumption) huko kwao kwenye ku/sustain uchumi wao, they cannot afford that losses kirahisi kama tunavyodhani.

Uzalishaji huo wa $371 billion dollars kwa wastani wa maisha $1.50 kwa siku kwenye bara imagine wazalishaji wanaohitajika kwa hiyo export value.

Sasa ukishwauwa waafrika wote, bila ya wauaji kuwa na mipango ya kuleta watu kuja kuzalisha hizo commodities wanazo chukua Africa wataendesha vipi uchumi wao kufidia hiyo gap ya $3 trillion.

Waafrika tunatabia ya kujisemea vitu vyovyote vinavyokuja kichwani kwetu kwenye kulaumu wengine, isipokuwa kukubali tu mapungufu yetu ndio mambo yaliyo tufanya tuwepo tulipo.

Hakuna nchi iliyoendelea inayoendeshwa na watu wenye akili za ku bahatisha.
 
Kama mikutano hii ni ya siri, ww umepata wapi hizi taarifa, au ww nawe ni mmoja kati ya wanaoshiriki kwenye mikutano hii. Na kama ni kweli unachozungumza basi tupe ushadi. Otherwise Acha ujinga wakutaka kuianzisha hiyo vita unayoitaja.
Kwani lazima uwepo kwenye mikutano ya siri ndiyo upate taarifa? Kweli wewe ngozi nyeusi la mwisho kabisa. Kwani taarifa za siri zinazo leak toka serikalini zinapatikanaje kwa wananchi? Siri ni ya mtu moja tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…