Kuna mikutano ya siri kutuondoa watu weusi duniani

k
Kumbe wanaotumia mkorogo walistuka mapema
inabidi tuungane nao sasa tusije tukapotezwa
 
Basi acha. Elimu inatafutwa, sio uletewe kwenye sahani, umeelekezwa ilipo, ifuate au acha.
Unajuaje kuna elimu hapa na si mafafa tupu?

Mimi naona mafafa tupu ndiyo maana sina hata mzuka wa kufuatilia. Wewe ndiye una wajibu wa kuweka link hapa.

Na inaonekana link wewe mwenyewe huna unabumbabumba tu hapa.
 
Hakuna watu rahisi kuwaondoa kama sisi, tusijiaminishe kuwa tu wagumu. Tech ni kubwa mno, mchina tu achilia mbali mzungu akiamua pelekeni sumu Africa kupitia simu za kiganjani kila anayeshika afe taratibu nchi nyingi hatuna namna ya kuzuia hilo.
 
Umejuaje boss?
 
Sasa wewe unafanya nini kuwa salama? Wao ni wanadamu kama wewe, badala ya kuhangaika kuharibu uchaguzi wa serikali za mitaa, wekeza kwenye elimu. Vinginevyo mtaendelea kusema mama kafanya hivi, kaleta umeme,mara dp world.
 
Hapa ni kujiandaa Kwa kutenda mema nakutrgemea malipo maisha ya hapa dunian ni valueless kwanini tuwekeze sehemu ambayo ni temporary, wewe unawezaje kujenga nyumba ukiwa safarini?
 
Ujinga ujinga wa mitandaoni haya ni ya kupuuza. Binadamu sio Rangi damu hazina rangi zina group sasa utaweka dawa gani? Hizi rangi zetu ni kitu kidogo sana kwenye damu
 
Wakiwaondoa watu weusi kazi za kitumwa afanye nani?
Siku hizi nguvu isiyo na akili ulimwenguni hata hawaitaki ndiyo maana wapo busy kutengeneza mitambo plus AI waishi na jamii mpya yenye akili kubwa
 
Kama wao wenyewe hawaelewani basi ni vigumu sisi kuondolewa, watajitokeza watetezi
 
Kuna swali la kujiuliza hapa; yule binadamu wa kwanza kuumbwa, alikuwa muarabu, mzungu, mhindi au mwafrika? Je, na hizi rangi zingine zilitokea wapi au zilibadilikaje badilikaje kutoka kwa binadamu wa kwanza?​
Kama umeshawahi lima mpunga kuna muda aina fulani ya majani huota ambayo hufanana na mpunga sasa hao ndo WAAFRICA
 
Siku hizi nguvu isiyo na akili ulimwenguni hata hawaitaki ndiyo maana wapo busy kutengeneza mitambo plus AI waishi na jamii mpya yenye akili kubwa
Kwani waafrica au watu weusi wa Afrika huwa hawana Akili? Au hawana akili by nature? Au Wanapoitwa hawana akili wanatumia kigezo gani kucompare mtu mwenye akili na asiye nazo? Vipi kuhusu Wazungu waliopo Africa wanaoishi huku?
Vipi kuhusu Weusi walioko huko?
 
Njooni njooni mumsalimie yule kaka yenu msomi wa chuo kikuu kaja
 
Ukweli ni waafrica ndio binadamu wenye akili sana tulikuwa tumefunikwa na giza sasa linaondoka tunachukua nafasi yetu.
Wenzetu wamelekeza saana kwenye miungu sasa inaanguka sisi tunaingia kwenye nuru.
 
Kama umeshawahi lima mpunga kuna muda aina fulani ya majani huota ambayo hufanana na mpunga sasa hao ndo WAAFRICA
Kama vipi tupewe mtihani nifanye na mzungu, akifeli afe yeye
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…