Hata wewe alikuwa anakushangaa mbona umezeeka sana[emoji23][emoji23][emoji23]Hawa wenzetu wanazeeka haraka sana jamani jana nilikuta na class mate wangu ila ilikuwa ngumu sana kumgundua hadi nilipo mchunguza kwa makini ndio kuja kugubdua ni class mate wangu wa sekondari 2006 2010 ila ni mmama kabisa yaani yule after 4 to 5 atakuwa na wajukuu kabisa..
Sasa kuna rafiki yangu naye nikawa namuadithia ndio akanisha hoi kabisa akanikumbusha ex wake wa sekondari eti now ni mama mchungaji tena mchungaji mmoja mkubwa kiumri sana..
Jamani hawa jinsia ke kwanini wanazeeka haraka hivi.
[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]Kwa hiyo mlikutana wazee yaani. Uliona hesabu za wapi wenzio wqnazeeka ww huzeeki?
Bila shaka na yy alikuwa anashangaa hili babu nililiona wapi?
Hata mimi umbo ni kama kijana wa 24yrs ambae hajapata ajira, ila sura haidanganyi shikamoo kama zote hata kwa ambao nawaona watu wazima.Mimi sijui Mungu kanipa udongo gani..nikikutajia umri wangu na umbo langu unaeza sema nadanganya ..umbo langu ni kama kijana wa 25 ila huo umri sasa mmmmh
Hahahahaha..ewaa shikamoo kama kawaida..kila unapopitaHata mimi umbo ni kama kijana wa 24yrs ambae hajapata ajira, ila sura haidanganyi shikamoo kama zote hata kwa ambao nawaona watu wazima.
Unatoaje upara kaka mkubwa?Mimi ki umri aisee nimekula chumvi ila ki umbo aah ..nikitoa hizi ndevu na huu upara ..walahi narudi sekondari kabisa
Acha uongo bhana kwanza Nani amekupa mamraka ya kutusemea sisi wanaume?Ukifikia umri wa kuwa mwanaume hayo mawazo ya kuoa katoto kadogo ili asizeeke mapema yataisha...na ukishakuwa tayari kuwa mume, baba wa watoto huwezi waza uzee wa mwenzio bali mkeo akishazaa ndo utaona uzuri wake akiwa ananyonyesha mwanao
ndio hapoAcha uongo bhana kwanza Nani amekupa mamraka ya kutusea sisi wanaume?
Kwa kuotetesha nyweleUnatoaje upara kaka mkubwa?
Unasemaje wewe?Kawaida akishazaa watoto basi umri ushaenda hata mvuto unapotea
Mamraka ❌ mamlaka ✔️Acha uongo bhana kwanza Nani amekupa mamraka ya kutusemea sisi wanaume?
Uku Kwetu wengine (kira,) sehemu yenye L unaweka RMamraka ❌ mamlaka ✔️
Nakubali Kuna Mwalimu namuita dada aiseeKundi ambalo linachelewa kuzeeka ni waalimu,, nadhani ile kufundisha wamesimama zoez tosha,,
Hizi kazi unakula kiyoyozi chapati tatu na misupu,, lazima uchoke,,
Lakin pia inategemea na udongo
Hiyo ni kweli lakini yampasa mwanaume kuoa mwanamke anae mzidi kuanzia miaka 7 kwenda mbeleUkifikia umri wa kuwa mwanaume hayo mawazo ya kuoa katoto kadogo ili asizeeke mapema yataisha...na ukishakuwa tayari kuwa mume, baba wa watoto huwezi waza uzee wa mwenzio bali mkeo akishazaa ndo utaona uzuri wake akiwa ananyonyesha mwanao
Mwanamke anawai kuzeeka tu ndio maana wazee wetu walioa wake wanao wazidi umri mpaka miaka 15Kitu usichojua ni kuwa hata yeye anakuona umekuwa mbaba,umezeeka. Kuna siku nilikutana na class mate wangu wa sekondari zaidi ya miaka 20 nyuma, nilimuona kazeeka sana ila akili ikaniambia na yeye ananiona hivyo hivyo sema mimi mwenyewe nimejizoea sion kama nimezeeka.
Mwanamke hata afanye mazoezi lakini bado umbile lake ni la kuchakaa harakakujitunza and mazoezi km hivi vitu hufanyi hata ww mwanaume utakua km mti uliokosa mbolea so in nutshell hawajitunzi zaidi ya makeup ya usoni
Hayo ni mawazo ya wavulana hakika nakwambiaHiyo ni kweli lakini yampasa mwanaume kuoa mwanamke anae mzidi kuanzia miaka 7 kwenda mbele