Kuna mmama alikuwa ananiangalia sana hadi nikajishtukia, nilipomchunguza vizuri nikagundua ni class mate wangu

Kuna mmama alikuwa ananiangalia sana hadi nikajishtukia, nilipomchunguza vizuri nikagundua ni class mate wangu

Hawa wenzetu wanazeeka haraka sana jamani jana nilikuta na class mate wangu ila ilikuwa ngumu sana kumgundua hadi nilipo mchunguza kwa makini ndio kuja kugubdua ni class mate wangu wa sekondari 2006 2010 ila ni mmama kabisa yaani yule after 4 to 5 atakuwa na wajukuu kabisa..

Sasa kuna rafiki yangu naye nikawa namuadithia ndio akanisha hoi kabisa akanikumbusha ex wake wa sekondari eti now ni mama mchungaji tena mchungaji mmoja mkubwa kiumri sana..
Jamani hawa jinsia ke kwanini wanazeeka haraka hivi.
Hata wewe alikuwa anakushangaa mbona umezeeka sana[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Mimi sijui Mungu kanipa udongo gani..nikikutajia umri wangu na umbo langu unaeza sema nadanganya ..umbo langu ni kama kijana wa 25 ila huo umri sasa mmmmh
Hata mimi umbo ni kama kijana wa 24yrs ambae hajapata ajira, ila sura haidanganyi shikamoo kama zote hata kwa ambao nawaona watu wazima.
 
Kuna age ukifika huwezi kuzuia mwonekano wa uzee, yaani ukate 45-50 hata uwe na umbo la kitoto bado kuna mwonekako utakusaliti, either mvi, upara nk ila uzee haudanganyi.

Nakutana na school mate anashangaa kidevu kimechakaa mvi, namshangaa kichwa hakina nywele, tunashangaana. Ilikuwa miaka mingi hatujaonana. Nikiangalia grps za shule naona wengi tayari jua la saa8 tushafika.
 
Ukifikia umri wa kuwa mwanaume hayo mawazo ya kuoa katoto kadogo ili asizeeke mapema yataisha...na ukishakuwa tayari kuwa mume, baba wa watoto huwezi waza uzee wa mwenzio bali mkeo akishazaa ndo utaona uzuri wake akiwa ananyonyesha mwanao
Acha uongo bhana kwanza Nani amekupa mamraka ya kutusemea sisi wanaume?
 
Kundi ambalo linachelewa kuzeeka ni waalimu,, nadhani ile kufundisha wamesimama zoez tosha,,

Hizi kazi unakula kiyoyozi chapati tatu na misupu,, lazima uchoke,,

Lakin pia inategemea na udongo
Nakubali Kuna Mwalimu namuita dada aisee
Katika story akanambia anastaafu baada ya miaka 5 na kaanza kufundisha 90 huko Yani anaweza kunizaa kabisa huku anakunywa juisi 😂😂😂lakin alivyo duh
 
Ukifikia umri wa kuwa mwanaume hayo mawazo ya kuoa katoto kadogo ili asizeeke mapema yataisha...na ukishakuwa tayari kuwa mume, baba wa watoto huwezi waza uzee wa mwenzio bali mkeo akishazaa ndo utaona uzuri wake akiwa ananyonyesha mwanao
Hiyo ni kweli lakini yampasa mwanaume kuoa mwanamke anae mzidi kuanzia miaka 7 kwenda mbele
 
Kitu usichojua ni kuwa hata yeye anakuona umekuwa mbaba,umezeeka. Kuna siku nilikutana na class mate wangu wa sekondari zaidi ya miaka 20 nyuma, nilimuona kazeeka sana ila akili ikaniambia na yeye ananiona hivyo hivyo sema mimi mwenyewe nimejizoea sion kama nimezeeka.
Mwanamke anawai kuzeeka tu ndio maana wazee wetu walioa wake wanao wazidi umri mpaka miaka 15
 
kujitunza and mazoezi km hivi vitu hufanyi hata ww mwanaume utakua km mti uliokosa mbolea so in nutshell hawajitunzi zaidi ya makeup ya usoni
Mwanamke hata afanye mazoezi lakini bado umbile lake ni la kuchakaa haraka
 
Back
Top Bottom