Hope urassa
JF-Expert Member
- Aug 22, 2017
- 4,230
- 10,650
Hahahaa mi napenda kunenepa ila nisiwe jimamaa lenye kitambi, niwe na mwili fulani hivi ila waaaapii , ngoja niendelee kufukia msosiMimi nilikua slim...mwembamba sinenepi sabb ya stress za kusoma na kuogopa ku fail...pia kua na mizigo mingi moyoni π π ππ
Watu wote nilipo onana nao miaka m5 recently wamenishangaa Sanaa sanaaa hakuna mtu mwembamba Ila Kuna mfupi na mrefu π π πππ π