Kuna movie inayotisha zaidi ya 'The Conjuring'?

juzi kuna sehemu nimepita nikasema ngoja niangalie kidogo movie.kwenye movie kuna MTU alichomekwa chepe la mdomo mpaka kichwa na kiwili wili vikatenganishwa.
Ehee usiku si nikaota nipo KWENYE ugomvi kuna watu wakachomana visu vya tumbo
 
Kumbe bado? Mkuu @Eng.zezudu alijichanganya au alikuwa anazingua tu.
Labda alimaanisha hiyo part 2 mkuu.

Tafuta Annabelle nazo zipo 3 hutojuta.
Annabelle 2014.
Annabelle: Creation 2017.
Annabelle Comes Home 2019.

Ngoja nikupe plot kidogo ya hiyo Annabelle Comes Home ni inamhusu mtoto wa Edd na Lloraine ambapo anajikuta matatizoni baada wazazi wake kusafiri kwenda kwenye paranormal investigation zao. Binti akiwa kaachwa nyumbani anapatwa na kasumba baada ya kuingia kwenye kile chumba special ambacho huwa wazazi wake wanahifadhi madude ambayo wanayapata kwenye visa mbali mbali ambavyo wanafanyia investigation. Mimi sio msimuliaji mzuri itafute utaenjoy sana.
 
Aisee dah!
Sasa Judy nae kilimuwasha Nini Tena wakati alishambiwa asiingie mule??
Afu na hao akina Ed hawakukifunga walivyoondoka au maana wanakijua jinsi kilivyo hatari!!
Aisee nimekuwa so curious lazima nicheki hii sio kwa kisa hiki!
 
juzi kuna sehemu nimepita nikasema ngoja niangalie kidogo movie.kwenye movie kuna MTU alichomekwa chepe la mdomo mpaka kichwa na kiwili wili vikatenganishwa.
Ehee usiku si nikaota nipo KWENYE ugomvi kuna watu wakachomana visu vya tumbo
Mkuu Basi movie za dizaini hiyo hazikufai😆😆
 
Walienda na sokwe wao ila mwishoni sokwe alibaki porini
 
Sawa mkuu horrors sio type yako
Off course, upo sahihi niliweza kutazama utotoni for this moment na husudu sana movie za mapigano, pamoja na vita vita. KATIKA VITA NAIPENDA SANA MOVIE YA LANG MEI, EASTERN CONDORS, COMMANDER, PHANTOM SOLDIER, LAST PLATOON, DELTA FORCE ZOTE, SNIPER GHOST ZILE THOM BELENGE
 
Lang Mei bonge moja la movie aise 😊😊
 
Aisee dah!
Sasa Judy nae kilimuwasha Nini Tena wakati alishambiwa asiingie mule??
Afu na hao akina Ed hawakukifunga walivyoondoka au maana wanakijua jinsi kilivyo hatari!!
Aisee nimekuwa so curious lazima nicheki hii sio kwa kisa hiki!
Itafute mkuu hutojuta kabisa.
 
Uchawi wa kizungu hautishi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…