Kuna mpasuko unafumwa kisayansi ndani ya CCM na wamefanikiwa kwa 100%. Rais amechelewa kusoma mchezo

MOja ya source nazoziamini sana jf
Kuna wakati huwa naingia JF kumsearch britanicca tu amepost nini/amechangia nini. Sisi wengine wenye access ndogo sana ya kujua yanayoendelea ndani tunamuombea sana Mungu ampe afya njema bila kusahau platform yenyewe ya Jamii Forum.
 
Jamaa wamesuka mipango yao na Mama anaamini maadui ni wakina Lissu kumbe maadui zake wapo ndani humo humo..
 
Kati ya mambo ambayo uwa naona CDM wanayakosea ni kufanya kila jambo kichadema chadema, wafanye agenda kuwa za umma then washawish umma,sio unasema chadema wataandamana, changamoto wanazokutana nazo haziwaathiri wao peke yao,ni za jamii nzima. Agenda hizo wazipe sura ya pamoja kama taifa badala ya kuipa sura ya chama zaidi.
 
Hakusema amefariki, usitake kusema maneno kwa kuvutia upande wako. Alisema yupo hoi kwa madiba, inasemekana ni sumu. Sasa naona katika harakati hizo za matibabu ndipo akapona.
Hakuna kitu km hicho acheni uzushi wa kijinga
 
Alafu hapo hapo nasikia form four failure Lukuvi akasema Samia aendelee hadi 2035!

Kwanini watu wanachezea Katiba kiasi hiki?

Inajulikana Mungu akipenda Muda wake ni 2030 Ila Haya ya 2035/40 Hapana


Britanicca
Lukuvi na mwenzake John Guninita ndiyo walifilisi mradi wa mabasi ya wanafunzi Dar.
 
Je hili suala la TIGO na TUNDU LISSU ni moja ya yaliyosukwa?
 
Mimi niliogopa sana Mheshimiwa Rais aliposema AMETUMIWA CLIP YA KATIBU MKUU WA CCM na kaisikiliza...

Unajua Nani alimtumia na kwanini Amtumie??

Uking’amua hili basi
Tangu hapo shughuli zote za CCM kitaifa zimesimama. Na kwa tunaimjua Nchimbi tunatambua ameshapeleka barua ya kuomba kujiuzuru hapo ndipo Mwenyekiti anakuja kugutuka na kuuliza kwani aliongea kibaya gani?
 
πŸ™πŸ™πŸ™
 
--------------------------------------------------
 
uongo mtupu
 
Watumishi na watu wa rohoni mtanielewa, Ccm ni Jini/ shetani lilokuzwa madhabau za kiza Toka uhuru maandiko ya kale na ushahidi upo
Sasa hili dude limekula damu nyingi za wanaccm na watz limepata nguvu

Kila inakatibia uchaguzi Hilo dude linakula damu za watu ili lipate nguvu upya

Sasa hivi linakunywa damu za watoto ndo maana huoni serekali na ccm hawasthiki

Mambo nyeti kama haya hayaonekani katika ulimwrngu wa mwili na nyama ni Wachache wa rohoni tunaweza funuliwa

Pia si rahisi kuyathibitisha kwa kanuni za kisayansi

Sasa watz tunatakiwa watumishi clean tulio na wakfu) tuungane tupande milimani tukaliombee taifa kwa kufunga na kuomba siku 40 ili
Mungu Aliye Mkuu alisamvaratishe hili dude katika ulimwrngu wa kiroho ili matokeo yaonekane katika ulimwrngu wa mwili na nyama

Tusimwachie mbowe Wala lisu hawataliweza hili dude Lina nguvu sana

Tukipinga maombi na mfungo mfululizo for 40 days hili dude linasambaratika tu na


Tutaona matokea ya maombi ikiwa ni pamoja na.kupatikana kwa katiba mpya, kupoteza viti vingi kwenye chaguzi na kuachia na kukabifhi madaraka kirahisi

Tukishindana na hili dude kwa namna ya kibinadamu litaendelea kutushinda
 
Mama Abdul kwa kuwa na washauri wawili mahasimu ; Kikwete na Bashite Ndio maana anachanganyikiwa 😳😳
πŸ˜‚πŸ˜‚ Bashite Lituhumiwa la mauaji, halafu anajitia uhalali wa kuwakemea watumishi wa Mungu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…