Kuna mpasuko unafumwa kisayansi ndani ya CCM na wamefanikiwa kwa 100%. Rais amechelewa kusoma mchezo

Mimi niliogopa sana Mheshimiwa Rais aliposema AMETUMIWA CLIP YA KATIBU MKUU WA CCM na kaisikiliza...

Unajua Nani alimtumia na kwanini Amtumie??

Uking’amua hili basi
Yani Rais naye anatumiwa viclip vya kuungaunga vya uvccm Whattsapp? Hapa tumeliwa.

Ila nampenda mama anajuwa kupika masotojo, clip zake nimeziona.
 
Maa... Modern Taarabu, mipasho a. K. a Mkojani fc.
Nendeni Zanzibar mkaone anavyo ijenga Zanzibar kwa speed ya 6G kabla uchaguzi wa 2025 na sisi huku Bara hatuungani kuwa kitu kimoja, na ndio maana hawezi kumtoa nje mzee wa Tozo kwa sababu wanajuana kwa upingaji wanaofanya kila mmoja kwa urefu wa kamba yake.
 
Si ndo na Mimi huwa nashangaa napoona mabango ya mitano Tena. Alipaswa kuambiwa kuwa anakabidhiwa kiti Hadi 2025 maana ....
Yaani kupewa usimamizi wa familia ya marehemu Ili kupata mrithi baada ya msiba Yeye anaamua kujimilikisha mazima.

Hayupo atakayemuelewa.

Muhimu akubali kusimama uchaguzi wa mrithi sahihi Kisha akabidhi Kwa Amani kabisa.

Kujaribu kungangania KITI ni kuleta maswali juu ya chanzo Cha kifo Cha marehemu!!
 
Jamaa yangu tangu useme DAB kafia SA kisha nikamuona Arusha anakagua kiwanja cha Ndege,kuanzia hapo siamini unachokiandika
Ila kwa ishu ya sumu kuna ukweli, yule mwana sasa siyo mzima kuna humu amevaa kanzu na kilemba, ukiizoom utaona midomo yake imeungua mithili ta mnywaji wa pombe kali na ngozi yake iko pale sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…