Kuna mradi wa kukarabati Shule Kongwe nchi nzima. Je, fedha za kukarabati shule ya Ihungo na Nyakato zilizoathiriwa na tetemeko Kagera zinatoka huko?

Kuna mradi wa kukarabati Shule Kongwe nchi nzima. Je, fedha za kukarabati shule ya Ihungo na Nyakato zilizoathiriwa na tetemeko Kagera zinatoka huko?

Huo haukua mradi wao jica ni serikali ya Japan, jica wali facilitate project yote, serikali wakasema watatoa nguvu kazi ambayo ndio vijana wa JWTZ , pesa za mradi zote zimetoka serikali ya Japan.
Siwezi kukupa ushahidi wewe.

Hata ukiuliza ubalozi wa Japan Tanzania watakwambia ni wao wamekarabati shule zile.
Ngachoka kwakweli
Wacha niangalie namna ya kula hata ugali dagaa tu.

Nchi imekuwa na mambo mengi mpaka sielewi
 
UOTE="Bila bila, post: 36713202, member: 404967"]
Sengerema imekarabatiwa, Mara imekarabatiwa, Nganza imekarabatiwa, Tabora imekarabatiwa, sasa tatizo linabaki kwa Ihungo na Nyakato zilizokuwa zinasubiri tetemeko.
[/QUOTE]
Tabora
 
Bwiru boys and Girls, Rugambwa,mwanza sec,pamba sec....nyingi kweli kweli,meaning funds zà kukarabati zilikuwepo,
Sengerema imekarabatiwa, Mara imekarabatiwa, Nganza imekarabatiwa, Tabora imekarabatiwa, sasa tatizo linabaki kwa Ihungo na Nyakato zilizokuwa zinasubiri tetemeko.
 
Back
Top Bottom