Good Father
JF-Expert Member
- Feb 28, 2014
- 10,321
- 18,574
Ngachoka kwakweliHuo haukua mradi wao jica ni serikali ya Japan, jica wali facilitate project yote, serikali wakasema watatoa nguvu kazi ambayo ndio vijana wa JWTZ , pesa za mradi zote zimetoka serikali ya Japan.
Siwezi kukupa ushahidi wewe.
Hata ukiuliza ubalozi wa Japan Tanzania watakwambia ni wao wamekarabati shule zile.
Wacha niangalie namna ya kula hata ugali dagaa tu.
Nchi imekuwa na mambo mengi mpaka sielewi