Kuna mtoto wa miaka minne kakutwa na typhod wakampa hii dawa. Ni sawa?

Kuna mtoto wa miaka minne kakutwa na typhod wakampa hii dawa. Ni sawa?

Nope Kulingana Na STG Ya watoto na Adolecence Azuma,Cipro na Cefixime ni first line Ila Kati ya Hizo dawa zote..
Cipro ni more Safe kwa Watoto..Sasa ukiniukiza Why tutaanza kuchinba Pharmacology hapo
Azithromicin (Azuma) ni 2nd line drug aisee haina cha mtoto, mtu mzima wala wanyama, 2nd line drugs ni referral kwa 1st line drugs na 3rd line drugs kama cephalosporins mf ceftriaxone ni referral kwa 2nd line drugs.
 
Mkuu Unafahamu Cipro Inatolewaje kwanza Dose yake??
Naweza kubishana na Mtu asiyejua hata dose ya Dawa...

Lakini ngoja Nikusaidie Cipro dose yake ni 15mg/kg so Wewe Mwenyewe Unaweza Ukapiga hapo na Ukapata utampaje..
Sorry kwa Hili swali wewe Ni medical Personell??

Kama Ndiyo na Hujui Dose Ya Cipro Inafikirisha Sana
Mkuu, na mimi naomba unifafanulie hapo kwenye dose 15mg/Kg.
2. Taarifa gani daktari lazima azijuwe kutoka kwangu (ukiachana na ugonjwa, let say tayri nishakuwa comfirmed nna malaria) ili aweze kunipangia dozi??, mf uzito labda na inarelate vipi na namba moja hapo etc
Huwa naquestion sana kila nikienda hospitali, mara nyingi naona tu anachukuwa pakiti kadhaa anaweka tu kwa bahasha then anaandika.
 
Azithromicin (Azuma) ni 2nd line drug aisee haina cha mtoto, mtu mzima wala wanyama, 2nd line drugs ni referral kwa 1st line drugs na 3rd line drugs kama cephalosporins mf ceftriaxone ni referral kwa 2nd line drugs.
azuma kwa wanyama?
 
azuma kwa wanyama?
Unashangaa au unauliza? na kama unauliza ni unauliza ujue au unajua?

Azuma ni trade name tu, dawa (active ingredient) ni Azithromycin, chukuwa homework kesho tembelea agrovets kaulize ukikosa Azithromycin (zote injection na za per os) basi itabidi nirudi shule.
 
Hapana mkuu ...
Cipro kwa watoto hasa chini ya miaka 10, inarisk ya kuharibu mifupa yao
Kama Umesoma Pharmacology utakuwa unanielewaa zaidi KIla dawa ina risk zake nyingi hata Gentamycin ina Ototoxic na inaharibu maskio ila Ndo Dawa ya Kwanza Kwa watoto kwa Magonjwa Karibu yote tena GP wanapenda Sana Kuzitoa Utasikia mpe Ampigenta..

Mimi ni daktari wa Watoto kwa Muda mrefu..
Ukipata Muda Kasome hata Guildline zenu zinawaambiaje maana sitaki Kuingia Deep sana..
IMCI guildline Inaruhusu Matumizi ya Cipro kwa Mtoto mwenye Umri wa 5 Years.. au chini ya 2 years..
STG Paediatric Guildline Inaruhusu kabisa..

Sasa nataka Kukuuliza Unipe Dawa ambazo haina Side eddects Yoyote kwa watoto na Haina Risk yoyote ili tuitumie lwa Matibabu..
 
Azithromicin (Azuma) ni 2nd line drug aisee haina cha mtoto, mtu mzima wala wanyama, 2nd line drugs ni referral kwa 1st line drugs na 3rd line drugs kama cephalosporins mf ceftriaxone ni referral kwa 2nd line drugs.
Kupanga Regimes za Dawa huwa inatokana na Upatikanaji wa Dawa wa Nchi mahalia..

Kwa Tanzania STG paediatric (Standard Treatment Guildlines for Paediatric and Adolescents ) Edition ya mwaka 2018..
Screenshot_20241128_115000_Adobe Acrobat.jpg
 
Mkuu, na mimi naomba unifafanulie hapo kwenye dose 15mg/Kg.
2. Taarifa gani daktari lazima azijuwe kutoka kwangu (ukiachana na ugonjwa, let say tayri nishakuwa comfirmed nna malaria) ili aweze kunipangia dozi??, mf uzito labda na inarelate vipi na namba moja hapo etc
Huwa naquestion sana kila nikienda hospitali, mara nyingi naona tu anachukuwa pakiti kadhaa anaweka tu kwa bahasha then anaandika.
SIjaelewa Swali..Engeneer
Kama Unaweza kulidadavua Vizuri nitashukuru Sana Asante
 
Ni sahihi, Tatizo watu wengi wamezoea kuona zikitibu magonjwa ya zinaa.
 
SIjaelewa Swali..Engeneer
Kama Unaweza kulidadavua Vizuri nitashukuru Sana Asante
Hapo ulipoelezea dozi ya hiyo dawa ni 15mg/Kg, ni uwiano wa kiwango cha dawa nachotakiwa kutumia na uzito wangu ama ni nini?

2. Tuseme nishafanya check-up kwa daktari nimegundulika tayari naumwa ugonjwa flani na natakiwa nipate dawa flani, kwenye dozi ni taarifa gani atakayohitaji kutoka kwangu ndo mpharmacia aweze kuniandikia dozi natumiaje? Ama hakuna haja?

Ikifika section ya kuchukua dawa sielewi kigezo gani kinatumika kupanga nitumie tembe ngapi? Mara ngapi? Na mwisho lini (japo sijawahi kuambiwa mwisho), mwanzo niliwazaga uzito ila nimeenda hospitali almost mara ya 3 hii sijapimwa uzito ila nimeandikiwa dozi.
Mwaka huu huu pia nilipewa almost pakiti tatu zenye tembe 8 kila moja (hiyo dozi ya kwanza) na kuna nyingine hapo, sikumuona hata akifikiria yule mpharmacia niliona tu kafungua kiboksi katoa mapakiti matatu kaandika na matumizi yake!
 
Daktari yuko sahihi kabisa , ila Changamoto ni hivyo vipimo vya typhoid siku hizi hatutumii hicho kipimo cha Widal test kupima typhoid
 
Hapo ulipoelezea dozi ya hiyo dawa ni 15mg/Kg, ni uwiano wa kiwango cha dawa nachotakiwa kutumia na uzito wangu ama ni nini?

2. Tuseme nishafanya check-up kwa daktari nimegundulika tayari naumwa ugonjwa flani na natakiwa nipate dawa flani, kwenye dozi ni taarifa gani atakayohitaji kutoka kwangu ndo mpharmacia aweze kuniandikia dozi natumiaje? Ama hakuna haja?

Ikifika section ya kuchukua dawa sielewi kigezo gani kinatumika kupanga nitumie tembe ngapi? Mara ngapi? Na mwisho lini (japo sijawahi kuambiwa mwisho), mwanzo niliwazaga uzito ila nimeenda hospitali almost mara ya 3 hii sijapimwa uzito ila nimeandikiwa dozi.
Mwaka huu huu pia nilipewa almost pakiti tatu zenye tembe 8 kila moja (hiyo dozi ya kwanza) na kuna nyingine hapo, sikumuona hata akifikiria yule mpharmacia niliona tu kafungua kiboksi katoa mapakiti matatu kaandika na matumizi yake!
Anhaa Hapo Nimekuelewa Sana...
Historically Njia Iliyokuwa ya Kwanza kabisa Kudetermine Dose ya Mgonjwa Ilikuwa ni BSA (Body surface area) sema Ikawa Ni usumbufu sana Kufanya Calculation wakawa Wameisogeza Njia ya Pili ambayo ni Uzito na Njia ya BSA imebaki kwenye Oncology bases kwa wale wa Chemotherapy kama Cisplation na dawa zingine..

Njia zilizobaki Ni Uzito (Weight),Umri (Age) na Baadhi ya Dawa (Height)..
Japo Nyingi sana Tunatumia Uzito na Umri..

Ila Most Preferably ni Uzito..

Na Yes Hiyo 15mg/Kg ya Cipro Niliyoandika Ni dose Ya Dawa kwa Uwiano wa Uzito..

Kwa mfano:-
Mtoto mwenye Uzito wa Kilo 25..
Atapewa [ 15mg X 25kg]/1Kg ambayo ni sawa na 375mg Za cipro..

Atapewa 375mg za Cipro..

Dose Hizi Hutumika sana kwa Watotona Sio fixed Dose kwa Sababu watoto hutofautiana sana kwenye Ukuaji na Other Physiplogical Function..
Children are not Smaller Version of Adults.
Kwahyo Dose yao Sio Fixed..Ndo maana Tunaweka Dosage according to weight..

turudi kwa wakubwa Sasa Kama wewe Mara Nyingi huwa Tunaconsider Kila Adult kuwa Ni Fixed Dose yaani Adults Dose Bila Kuconsider Uzito wake wala Umri wake..
Lakini Kiutaratibu ilitakiwa Ifanyike Consideration ya Weight na Age ila Imekuwa Mazoea but haina Effects sana Sema kuna baadhi ya Dawa Lazima kufanya Vipimo..

But Wako sawa!
 
Kwa tafiti zipi cipro iwe safe kuliko Azithromycin? Hapo daktari yupo sahihi labda ungezumzia Efficacy
Ungeangalia Kuanzia Nilivyoandika kuanzia Mwanzo nafikiri ungeona Niliandika nini Nimesema daktari yuko Sahihi ila Nikasema baadae Kulingana na Miongozo Cipro is the best Choice Kuliko Azythromycin....

Unajua Jibu nalotaka Kutoa sasa Hivi nilikuwa nalikwepa Sana kwa sababu ya Kuokoa Hadhi na Heshima Kwa Daktari mwenzangu aliyetoa Hiyo dawa Nimejaribu sana Kutetea Kuanzia Mwanzo ila ntaenda sasa Kusimama na Ukweli..

Kwa Watoto wetu sana sana Hawa wadogo Haturecommend Kabisa Matumizi ya Azythromycin kama First Line choice Of Drugs..

Watoto wote walio kwenye Mazingira ya Kwetu ya Afrika hasa Tanzania Wanakumbwa sana na Maambukizi ya Bacteria na Pneumonia za Mara kwa Mara (CAP).. Na Mara Nyingi Kisababishi cha Pneumonia Kwa Nchi yetu kama Tanzania ni Streptococcus Pneumoniae..
Kwa sababu ya macrocyclic lactone ring to which one or more deoxy sugars Properties hiyo Inafanya Macrolides Ziwe limited kwa Baadhi ya bacteria..

So Kama Utampa azythromycin Unaweza kusababisha Resistance kwa mtoto kwa Baadhi ya Magonjwa na Ukasababisha Usugu wa Dawa kwa Mtoto bila Kujua..
Na Hili ndo kosa kubwa sana Tunafanya Madaktari..

Hatuangalii Hii factor Unaweza Kumtibu Mgonjwa sasa Hivi ila Ukamsababishia Matatizo ya Maisha..Ukatengeneza Resistance au kabisa Mutation ya Bacteria..

Kama Ukitaka Tuchimbe kwenye Pharmacology karibu Mkuu..
Tutafundishana Vizuri tu na Utaelewa Kwanini Azythromycin sio Recommended kama Chagua langu la Kwanza kuliko Cipro
 
Back
Top Bottom