Ngoja nakuja mkuu. Ila sitaki yule anayeomba hela. Malipo ni baada ya kufanikiwa.Achana na waganga matapeli wa dar hao
Njoo huku kwetu morogoro nikupeleke kwa wataalamu huko ifakara ndani ndani.
Vijana msione watu ni mawaziri mkadhani ni bahati, ile ni kazi ya ndumba
Mkuu.umenikumbusha kuna kipindi bro wangu alikua na kesi ya roberry..tukaenda huko morogoro kwa mtaalamu..at the beginning bro alikua kapigwa 30 yrs..surprisingly bro akachomoka kwenye rufaa kama babu alivyotuahidi.Achana na waganga matapeli wa dar hao
Njoo huku kwetu morogoro nikupeleke kwa wataalamu huko ifakara ndani ndani.
Vijana msione watu ni mawaziri mkadhani ni bahati, ile ni kazi ya ndumba
AiseeNdugu yangu kuna mganga yupo wilaya ya Geita kata ya Bukori yule mzee anaitwa mzee Kalinga Myano yule mzee niuhakika naona Anatibu watu wazito wazito Kutokana nakuwa yupo Busy anamtoto wake Nae Yuko Vzuri sana ukitaka mawasiliano ya Mwanae Ninayo Funga safari nenda nauli 40k ama 45k Utakuja kunishukuru ndugu yangu
Ukikua utaelewaHakuna kitu kama hicho kazi una apply kupitia portal au email je utaroga mfumo wa computer?
Achana na waganga matapeli wa dar hao.
Njoo huku kwetu morogoro nikupeleke kwa wataalamu huko ifakara ndani ndani.
Vijana msione watu ni mawaziri mkadhani ni bahati, ile ni kazi ya ndumba
Achana na hizi kazi za kwenye vijikampuni uchwara vya wachina au wahindi.
Nauliza kuna mtu amewahi kupata kazi ya maana either serikalini au kwenye makampuni ya kimagharibi na NGO kwa nguvu za witch doctors a.k.a waganga wa jadi?
Kama yupo ebu aje hapa atoe ushuhuda wake ili na sisi tukajaribu bahati zetu huko.
Asante
Akili ikifika mwisho wa kufikiri utaambiwa mavi ya kuku ni dawa na utaamini ,hizo ni imani potofu lkn ukiamini ni wewe mwenyewe so ni imani yako wewe, wacha nikupe kisa mimi marehemu baba mdogo aliwahi kumpiga mtu kibao pale lumumba alikuwa tax Driver miaka hiyo ,jamaa alimfuata baba mdogo eti kakimbiwa na mkewe akitaka dawa basi naam baba mdogo akashuka kwenye gari akampiga kibao cha nguvu akamwambia nenda moja kwa nyumbani usieleke huku wala huku mkeo utamkuta na kweli jamaa alimkuta mkewe,so ni imani tu.Achana na hizi kazi za kwenye vijikampuni uchwara vya wachina au wahindi.
Nauliza kuna mtu amewahi kupata kazi ya maana either serikalini au kwenye makampuni ya kimagharibi na NGO kwa nguvu za witch doctors a.k.a waganga wa jadi?
Kama yupo ebu aje hapa atoe ushuhuda wake ili na sisi tukajaribu bahati zetu huko.
Asante
Mkuu hakuna mganga atakayekupa mafanikio. Utaliwa hela bure na hakuna utakachoambulia km hujui mganga na mchawi lao moja. Mganga anamfanyia kazi mchawi hapo ni sawa na case ya nyani unampa ngedere. Ukienda kwa mganga utakachoambulia ni kuongezewa matatizo na kuendelea kwenda kwake na mwisho kujichimbia shimo wewe mwenyewe.Achana na hizi kazi za kwenye vijikampuni uchwara vya wachina au wahindi.
Nauliza kuna mtu amewahi kupata kazi ya maana either serikalini au kwenye makampuni ya kimagharibi na NGO kwa nguvu za witch doctors a.k.a waganga wa jadi?
Kama yupo ebu aje hapa atoe ushuhuda wake ili na sisi tukajaribu bahati zetu huko.
Asante
Dsm au miji yote mikubwa hakuna waganga..hao ni matapeli..waganga wapo maporini huko.Unapoona mganga anatoa pesa yake mfukoni kwenda kuchapisha mabango ya matangazo ambayo kayazungusha mji mzima kwenye nguzo ili apate wateja utagundua dhana ya mganga kumfanya mtu afanikiwe kwa ndumba ni uwongo na utapeli
Mungu yupi?Mkuu hakuna mganga atakayekupa mafanikio. Utaliwa hela bure na hakuna utakachoambulia km hujui mganga na mchawi lao moja. Mganga anamfanyia kazi mchawi hapo ni sawa na case ya nyani unampa ngedere. Ukienda kwa mganga utakachoambulia ni kuongezewa matatizo na kuendelea kwenda kwake na mwisho kujichimbia shimo wewe mwenyewe.
Kuna watu wamekuwa masikini wa kutupwa na wengine wamejikuta katika matatizo makubwa kwa ajili ya kwenda kwa waganga.
Nikushauri tu mtumaini Mungu sali sana na pambana mafanikio yapo katika juhudi binafsi na kumtumainia Mungu