Kuna mtu amewahi kupata kazi ya maana kwa kutumia waganga wa jadi?

Kweny bibilia nimesoma mahali " anasema simon alikuwa akifanya uchawi wake Apo kbla ktk jamii ile na watu walimwamini sna kwa uchawi wake na uganga wake ila walivyofika kina filipo kueneza neno lamungu kwa miujiza walizo fanya mbele za watu .watu waliamini wakabatizwa pamoja na simoni Yule aliekuwa akifanya uchawi nae akakubali kubatizwa

Matendo ya mitume 4:12 I asema
"Wala Hakuna wokovu katika mwingine awaye yote kwa maana hapana jina lingine chini ya mbingu walilopewa wanadamu litupasalo sisi kuokolewa kwalo

Kijan Katik Kuna mbinu nyingi San Tena hz za serekali I Kuna ulozi mno tumia jina la yesu linatosha
 
Mkuu.umenikumbusha kuna kipindi bro wangu alikua na kesi ya roberry..tukaenda huko morogoro kwa mtaalamu..at the beginning bro alikua kapigwa 30 yrs..surprisingly bro akachomoka kwenye rufaa kama babu alivyotuahidi.
Mkuu kwahy huyu alikuwa fundi wa kesi tu au??
 
Mkuu.kwa kweli kwa kipindi kile sikutaka kujua huyo babu kama alikua anadeal na kesi tu au na tiba zingine sababu issue ya bro ilikua inatuumiza vichwa kama familia.ila nachokumbuka kulikua na foleni ya watu kila mtu akiwa na shida yake,imagine sisi tulikaa siku mbili mpaka kuhudumiwa.na uzuri wa yule mzee huchukui hata mia yako,anakuambia nenda ukifanikiwa shida yako ndio urudi kutoa shukrani yako,bro siku hiyo ameachiwa huru na mahakama kuu kanda ya Dar, hakutaka hata kupoteza muda tukapitia ubungo tukaenda moro kumshukuru huyo mzee.tiba yake ilikua ni risasi na njiwa,nakumbuka alituchukua mpaka mlimani na gobore lenye risasi moja akampa bro wetu mwingine aipige hiyo risasi kuelekea uelekeo wa dar ambako ndiko rufaa ilipokua inasikilizwa,kisha akamchukua njiwa kamnenea maneno sijui ya lugha gani nae akamuachia kuelekea uelekeo wa dar,akatuambia ndugu yenu atatoka.
Haya mambo mkuu yasikie tu kwa watu,sisi ilibidi tutafute njia mbadala kwa sababu mawakili wa serikali walikua wanataka 15m ndio waweze kuchezesha ili bro ashinde rufaa,sisi kama familia tumejichanga tukapata only 5m tumewabembeleza jamaa wamekataa kabisa.basi ndio tukakutana na mdau mmoja akatuwahisha huko kwa fundi ambako pamoja na kila kitu tulitumia laki 3 tu.
 
Duh.kazi kweli kweli
Inabidi utuelekeze hilo chimbo mkuu
 
Ndugu yangu kuna mganga yupo wilaya ya Geita kata ya Bukori yule mzee anaitwa mzee Kalinga Myano yule mzee niuhakika naona Anatibu watu wazito wazito Kutokana nakuwa yupo Busy anamtoto wake Nae Yuko Vzuri sana ukitaka mawasiliano ya Mwanae Ninayo Funga safari nenda nauli 40k ama 45k Utakuja kunishukuru ndugu yangu

Nadhani Doto Biteko anamtumia huyo
 
Mkuu.kwa kweli kwa kipindi kile sikutaka kujua huyo babu kama alikua anadeal na kesi tu au na tiba zingine sababu issue ya bro ilikua inatuumiza vichwa kama familia.ila nachokumbuka kulikua na foleni ya watu kila mtu akiwa na shida yake,imagine sisi tulikaa siku mbili mpaka kuhudumiwa.na uzuri wa yule mzee huchukui hata mia yako,anakuambia nenda ukifanikiwa shida yako ndio urudi kutoa shukrani yako,bro siku hiyo ameachiwa huru na mahakama kuu kanda ya Dar, hakutaka hata kupoteza muda tukapitia ubungo tukaenda moro kumshukuru huyo mzee.tiba yake ilikua ni risasi na njiwa,nakumbuka alituchukua mpaka mlimani na gobore lenye risasi moja akampa bro wetu mwingine aipige hiyo risasi kuelekea uelekeo wa dar ambako ndiko rufaa ilipokua inasikilizwa,kisha akamchukua njiwa kamnenea maneno sijui ya lugha gani nae akamuachia kuelekea uelekeo wa dar,akatuambia ndugu yenu atatoka.
Haya mambo mkuu yasikie tu kwa watu,sisi ilibidi tutafute njia mbadala kwa sababu mawakili wa serikali walikua wanataka 15m ndio waweze kuchezesha ili bro ashinde rufaa,sisi kama familia tumejichanga tukapata only 5m tumewabembeleza jamaa wamekataa kabisa.basi ndio tukakutana na mdau mmoja akatuwahisha huko kwa fundi ambako pamoja na kila kitu tulitumia laki 3 tu.
Kwa maana hyo nyinyi sas na familia yenu Ni washirikina au siyo bhna ..katu hamuwezi kuacha hyo tabia

Sizani Kam Ni uchawi ulifanyika Ni mawakili waliona tu kuwa hawna ushaidi wa kutoshaaa

Sabaya naee tusubirj hukumu yake akishinda ya rufaa tuseme uchawi
 
Achana na hizi kazi za kwenye vijikampuni uchwara vya wachina au wahindi.

Nauliza kuna mtu amewahi kupata kazi ya maana either serikalini au kwenye makampuni ya kimagharibi na NGO kwa nguvu za witch doctors a.k.a waganga wa jadi?

Kama yupo ebu aje hapa atoe ushuhuda wake ili na sisi tukajaribu bahati zetu huko.

Asante
Kinachofanyika sio kupata kazi bali kuilinda hiyo kazi , Ni sawa tu na utajiri unaweza ku hussle ukapata mpunga wako bila ndumba lakini kuulinda ubaki utazihitaji hizo nguvu
 
BBa
Achana na hizi kazi za kwenye vijikampuni uchwara vya wachina au wahindi.

Nauliza kuna mtu amewahi kupata kazi ya maana either serikalini au kwenye makampuni ya kimagharibi na NGO kwa nguvu za witch doctors a.k.a waganga wa jadi?

Kama yupo ebu aje hapa atoe ushuhuda wake ili na sisi tukajaribu bahati zetu huko.

Asante
 
Achana na hizi kazi za kwenye vijikampuni uchwara vya wachina au wahindi.

Nauliza kuna mtu amewahi kupata kazi ya maana either serikalini au kwenye makampuni ya kimagharibi na NGO kwa nguvu za witch doctors a.k.a waganga wa jadi?

Kama yupo ebu aje hapa atoe ushuhuda wake ili na sisi tukajaribu bahati zetu huko.

Asante
Badala ya kupata kazi utapata mkosi hawa waganga hawafai
 
Kwa maana hyo nyinyi sas na familia yenu Ni washirikina au siyo bhna ..katu hamuwezi kuacha hyo tabia

Sizani Kam Ni uchawi ulifanyika Ni mawakili waliona tu kuwa hawna ushaidi wa kutoshaaa

Sabaya naee tusubirj hukumu yake akishinda ya rufaa tuseme uchawi
Acha ubishi dogo..kama huamini ninwewe..ili haya mambo yapo na yanafanya kazi..endelea ku receive hapo kwa mwamposa..

#MaendeleoHayanaChama
 
I receive I receive ..kjn Yule mjinga San mambo ya familia unaweka mtandaoni eti tulienda kwa mganga atusaidie Kaka yetu aliekuwa jambaz zugu ..sas Yule jamaa ameacha ujambazi au ndio amenda kuzimikwa dawa kuiba bila kuonekana unakosea Sana bwan mdgo hayo mamb Ni Siri acha siku mmletewe maiti ndio mtajuwa mgaanga aliwadanganya temporarily
 
Story hii nimeshuhudia live.

Wakati nipo dogo ndio nmemaliza 4m4..kulikua na bro wangu alipataga majanga sana..kwanza alikua dereva wa daladala..alipataga majanga kwa ajali kubwa..kisha kuja kuugua ugonjwa ambao hospitali zote alizoenda vipimo vyote hakuonekana na ugonjwa..ila aka elekezwa kwa mtaalam mmoja huko shinyanga vijijini.

Huyo mtaalamu alifanya macjekeche yake..jama alikuja kupona akarudi kwenye reli na kuendelea na mapambano ya maisha.

Ingawa jamaa alikua na familia kipindi narudi kitaani nikamkuta kachoka sana na life hana mbele wala nyumba..life la kuungaunga..anaomba kazi hapati mind you jamaa alikua dereva na leseni ipo...ila kila akiomba kazi hapati akipata ni dei waka.

Sikumoja akaniita nimwandikie barua ya kuomba kazi..kahama viwandani huko...nikamwandikia kisha akaniamba dogo kesho jiandae unisindikize mahali..

Basi kesho yake asbh na mapema nikamsindikiza mpka vijijini ndani ndani huko..kufika pale kaniambia dogo maisha ni kujipanga tunasali pia tuna pambana na upande wa pili.

Basi akafanyiwa mafekeche na mtaalamu wake..mida ya jioni tukaondoka kurudi home..kesho yake akachukua barua akatuma.

Hakukaa wiki..bhna akapata ile kazi.

Jamaa alipiga kazi..kajenga nw maisha safi tu.

Huo ndio ushuhuda wangu wa haraka haraka..ni mengi tu niliyoona.

Walokole na wafia dini za kuletewa watapinga..brainwashed creatures hawa..hawajua kua babu zetu walikua na uwezo wa kuzui au kuomba mvua ikanyesha..kama wanabisha waende kushuhudia miujiza ya kina mwanamalundi...

Dini asili zipo na zinafanya kazi kubwa.

#MaendeleoHayanaChama
 
Mkuu.kwa kweli kwa kipindi kile sikutaka kujua huyo babu kama alikua anadeal na kesi tu au na tiba zingine sababu issue ya bro ilikua inatuumiza vichwa kama familia.ila nachokumbuka kulikua na foleni ya watu kila mtu akiwa na shida yake,imagine sisi tulikaa siku mbili mpaka kuhudumiwa.na uzuri wa yule mzee huchukui hata mia yako,anakuambia nenda ukifanikiwa shida yako ndio urudi kutoa shukrani yako,bro siku hiyo ameachiwa huru na mahakama kuu kanda ya Dar, hakutaka hata kupoteza muda tukapitia ubungo tukaenda moro kumshukuru huyo mzee.tiba yake ilikua ni risasi na njiwa,nakumbuka alituchukua mpaka mlimani na gobore lenye risasi moja akampa bro wetu mwingine aipige hiyo risasi kuelekea uelekeo wa dar ambako ndiko rufaa ilipokua inasikilizwa,kisha akamchukua njiwa kamnenea maneno sijui ya lugha gani nae akamuachia kuelekea uelekeo wa dar,akatuambia ndugu yenu atatoka.
Haya mambo mkuu yasikie tu kwa watu,sisi ilibidi tutafute njia mbadala kwa sababu mawakili wa serikali walikua wanataka 15m ndio waweze kuchezesha ili bro ashinde rufaa,sisi kama familia tumejichanga tukapata only 5m tumewabembeleza jamaa wamekataa kabisa.basi ndio tukakutana na mdau mmoja akatuwahisha huko kwa fundi ambako pamoja na kila kitu tulitumia laki 3 tu.
Nimesem futa hi andiko haraka sna mambo ya familia unayanika mtandaoni kweli eti alikuwa na kez za ujambazi mkamtafuta mganga

Swal nakuliza Kaka ako kaacha ujambazi au ndio kaenda kuzimikwa andelee na unyanganyi kutumia silah - ujambazi

Mganga huwa anatoa temporarily solution iko siku mtaletewa maiti na mtamkumbuka mganga wenu kuwa alikosea

Hyo milion 15 mngewapa wale mawakili wa serekali ili kak enu akitoka huko aachane na maswal ya ujambazi wa kutumia silah ..kwani mtaweka mashamba rehani ilikusud mtafute pesa ya kumtoa hata rudia kamwe

Ila kumpa mganga laki 300000 cjui unadhani kak ako ataacha ujambazi zugu ..I assured you kuwa Bado anafanya ujambazi kwa kutumia uganga
 
Story hii nimeshuhudia live.

Wakati nipo dogo ndio nmemaliza 4m4..kulikua na bro wangu alipataga majanga sana..kwanza alikua dereva wa daladala..alipataga majanga kwa ajali kubwa..kisha kuja kuugua ugonjwa ambao hospitali zote alizoenda vipimo vyote hakuonekana na ugonjwa..ila aka elekezwa kwa mtaalam mmoja huko shinyanga vijijini.

Huyo mtaalamu alifanya macjekeche yake..jama alikuja kupona akarudi kwenye reli na kuendelea na mapambano ya maisha.

Ingawa jamaa alikua na familia kipindi narudi kitaani nikamkuta kachoka sana na life hana mbele wala nyumba..life la kuungaunga..anaomba kazi hapati mind you jamaa alikua dereva na leseni ipo...ila kila akiomba kazi hapati akipata ni dei waka.

Sikumoja akaniita nimwandikie barua ya kuomba kazi..kahama viwandani huko...nikamwandikia kisha akaniamba dogo kesho jiandae unisindikize mahali..

Basi kesho yake asbh na mapema nikamsindikiza mpka vijijini ndani ndani huko..kufika pale kaniambia dogo maisha ni kujipanga tunasali pia tuna pambana na upande wa pili.

Basi akafanyiwa mafekeche na mtaalamu wake..mida ya jioni tukaondoka kurudi home..kesho yake akachukua barua akatuma.

Hakukaa wiki..bhna akapata ile kazi.

Jamaa alipiga kazi..kajenga nw maisha safi tu.

Huo ndio ushuhuda wangu wa haraka haraka..ni mengi tu niliyoona.

Walokole na wafia dini za kuletewa watapinga..brainwashed creatures hawa..hawajua kua babu zetu walikua na uwezo wa kuzui au kuomba mvua ikanyesha..kama wanabisha waende kushuhudia miujiza ya kina mwanamalundi...

Dini asili zipo na zinafanya kazi kubwa.

#MaendeleoHayanaChama
Madereva wengi Ni washirikina wazuri tu ndio maan baadhi wanapata ajali za kufikiria kutoana na maruweruwe
 
Back
Top Bottom