Razorblade
JF-Expert Member
- Aug 30, 2019
- 6,039
- 12,571
Sina jibu hapa kwa kweli maana Tayana-wog kaniacha kwenye mataa na Cammilla anamtaka Rais wangu labda nianze harakati upya kwa mleta mada Principle girl ๐
Mitaani mademu wako shazi unataftaje bebe majukwaani ๐๐๐Kama kuna mtu amewahi kupata mwenza kupitia hili jukwaa alete ushuhuda hapa
Dah pole sana, Selikavu alikuwa anawapigia debe sana kuwa ndio couple yake pendwa, ila Intelligent businessman asijue hili ๐ ๐Sina jibu hapa kwa kweli maana Tayana-wog kaniacha kwenye mataa na Cammilla anamtaka Rais wangu labda nianze harakati upya kwa mleta mada Principle girl ๐
Selikavu Intelligent businessman dosho12
Rais wangu hana baya siyo kama yule Kijana Masikini ๐Dah pole sana, Selikavu alikuwa anawapigia debe sana kuwa ndio couple yake pendwa, ila Intelligent businessman asijue hili ๐ ๐
๐๐๐๐Sema wana lombana
HongeraMimi mke wangu nimempatia humu humu mkuu
Namba yako ninayo nita kupigia ๐ ๐Sina jibu hapa kwa kweli maana Tayana-wog kaniacha kwenye mataa na Cammilla anamtaka Rais wangu labda nianze harakati upya kwa mleta mada Principle girl ๐
Selikavu Intelligent businessman dosho12
Kwamba kikongwe hasomeki๐คฃ๐Dah pole sana, Selikavu alikuwa anawapigia debe sana kuwa ndio couple yake pendwa, ila Intelligent businessman asijue hili ๐ ๐
Ni bora mungu akufundishe kunyamaza tu ๐ ๐Kwamba kikongwe hasomeki๐คฃ๐
Kwahiyo umeamua kuniacha halafu unatafuta kisingizio? ๐คฃ๐คฃSina jibu hapa kwa kweli maana Tayana-wog kaniacha kwenye mataa na Cammilla anamtaka Rais wangu labda nianze harakati upya kwa mleta mada Principle girl ๐
Selikavu Intelligent businessman dosho12
๐คฃ๐คฃ๐คฃtulia ww
Ipo hewani muda wote Rais ๐Namba yako ninayo nita kupigia ๐ ๐
Ili asiombewe ban ๐Ni bora mungu akufundishe kunyamaza tu ๐ ๐
Umenitelekeza bila huruma kijana wawatu nahaha huku kibunda kimejaa sina pakumwagia ๐Kwahiyo umeamua kuniacha halafu unatafuta kisingizio? ๐คฃ๐คฃ
Selikavu mwambie mi siachiki
Unataka kuwapa maneno waanze kusema โTulikwambiaโ ๐๐คฃ๐คฃ๐คฃtulia ww
Naunga mkono hoja.Tunataniana,tunafurahi though hatujuani
Ila tuheshimiane tusiitane majina ambayo yakudhalilishana hapa
Tomorrow is mystery