Kuna mtu amewahi kupata mwenza kupitia hili jukwaa?

🀣🀣🀣SS haya si ya kuongea na kumalizana tu mwanaume unakuja kulia huku?
Unaniangusha Bwana🀣 Selikavu kaa vzr na ndugu yako umpe bag party
Hapana hata ghetto kwenyewe hujawahi fika licha ya kujitoa kote kule kwaajili yako, nimesemwa hovyo mimi lakini nikakomaa halafu ukanitelekeza πŸ˜‚

Hakuna kujifichia kwenye bag party hapa umenivunja moyo sana, naona Bushmamy jimbo lipo wazi πŸ˜‚

Ukiendelea kunitelekeza nitajaribu kumwaga sera zangu kwake πŸ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…