Kuna mtu amewahi kupata mwenza kupitia hili jukwaa?

🀣🀣🀣
Jamani jamani......
Sawa ongeza basi mgombea mwenza aka mke mdogo anisaidie majukumu
 
Principle girl kwanini umeuliza hivyo?
Ndio unaweza ukapata mwenza humu na sio lazima ujitangaze lakini jinsi unavyoshiriki mijadala unaweza ukavutia mwenye uhitaji.

La msingi punguza matarajio hapo utafanikiwa kupata mwenza
 
Ukiandika waliopigwaaaa na WA awake WA humu ntakuja tenaa
Jpili njemaaaaa...
 
watu wanalizana kimya kimya
 
Jmn humu ni story tu
Chai Kwa wingi 🀣🀣

Miss you
Huu utani wangu kuna siku kuna member alinimind lilijua kweli niko serious nalipenda 😹😹😹
Nilivyoliambia nalizingua acha linitukane 🀣
Yani mimi nibebe dipresheni JF niipeleke wapi??

Miss you too Tayana wangu 😍
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…