Kuna mtu amewahi kupata mwenza kupitia hili jukwaa?

Huu utani wangu kuna siku kuna member alinimind lilijua kweli niko serious nalipenda 😹😹😹
Nilivyoliambia nalizingua acha linitukane 🤣
Yani mimi nibebe dipresheni JF niipeleke wapi??

Miss you too Tayana wangu 😍
🤣🤣🤣 Khaaaa akajua anapedwa kweli
 
🤣🤣🤣🤣 Nimecheka, unahisi umeishiwa power

Hili nalo neno babe
Kabisa yani sasa yangu ishazoea joto lako kipenzi halafu ghafla nikabadilishe joto, nashangaa napiga tako 3 kibunda kinamwagika 😂

Napata fedheha ili kujionyesha mie kidume siku nyingine si namkamia+kumnywea dawa, nahisi najenga kumbe ndo nabomoa 😂
 
Kuna hio pisi nliinasa humu mwaka juzi nikaitumia nauli ikala ikakausha dadeq, nikatishia kuifungulia uzi wa kumchana.... mtoto kilainiiii nikampokea stendi 😊.

Nimeichapa kwa mwaka mzima, nikitembelea dar inanipa kampani hadi nitapoondoka.
Sahv imeolewa qmamaqe
 
Kijana umesikia Bushmamy ana miaka 55 Roho imekutoka🤣🤣🤣🤣🤣
Wale tulio na Miaka 55 tutapata nafasi Mkuu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…