Kuna mtu anaweza asikupe pesa kwa sababu hana kwa wakati huo lakini akakupa ushauri wenye thamani kuliko pesa uliomuomba

Rais Magufuli anatoa funzo kubwa kwa CHADEMA.
 
Unamjua uncle kigwa alikopa bodaboda kwa mudi hakupewa ushauri wala nini anyway RIP uncle
 
Kunaa ushaurii mwingine wa kibwegee....mtu hajawai kukununulia hata bia afu anakwambia punguza pombee ufanye maendeleo,ukicheck yeye hana hayo maendeleo ukiangalia vizuri hata umempita
 
Kunaa ushaurii mwingine wa kibwegee....mtu hajawai kukununulia hata bia afu anakwambia punguza pombee ufanye maendeleo,ukicheck yeye hana hayo maendeleo ukiangalia vizuri hata umempita
Jiunge na CCM
 
Mbona Rais Magufuli anatoa elimu bure ? Waambieni Chadema kazi yao ni kununua sare tu ada wanalipiwa na Magufuli.
 
Shauri yao Chadema, sisi Watanzania wote October tupo na Rais Magufuli tu, wala hatutegemei Wazungu watupigie kura.
 
Magufuli anajenga stiglers gorge ambayo ilimshinda mkoloni.
 
Poti hongera sana!
 
Watanzania wanampenda huyu Mzee Magufuli haijwahi kutokea Hebu angalia Elimu bure Zahanati kila kona ya Nchi.
 
Magufuli anafanya vizuri maamuzi ya kumuongezea muda ni wazo zuri.
 
Fanya acknowledgement
 

Uchionade?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…