Infantry Soldier
JF-Expert Member
- Feb 18, 2012
- 15,892
- 16,476
- Thread starter
- #61
Angima...Ingima??
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Angima...Ingima??
OkayHao walikuwa wanatumiwa na Mabeberu sasa Mabeberu yamewaingiza king baada ya kukubali uzalendo wa Rais Magufuli.
Hongera sana mkuu wa kufanya ziara Rorya...Shukrani mkuu,
Rorya Nilifika huko 2012, Shirati mbele mbele kijiji cha Bubombi. Nilikuja kupiga ndondo those days when football was a food.
Mkuu, hakika unapajua sana Rorya.Tulikiwasha hatari. Kuanzia Tarime chuo cha ualimu, tukaja bubombi (Rorya) tukamalizia Musoma mwalimu nyerere fainali tukafungwa na Polisi Mara.
Hii Nchi imetoka mbali yale mawazo na ndoto za Nyerere yanaanza kutekelezwa na Rais Magufuli.Shikamooni wakubwa zangu wote wa hapa JamiiForums.
Ndugu zangu watanzania;
Hivi mnajua, kuna mtu anaweza asikupe pesa kwa sababu hana kwa wakati huo, lakini akakupa ushauri wa maana wenye thamani mara 3 zaidi ya pesa uliomuomba?
This is my true story
=========
Siku moja nikiwa chuo kikuu mwaka wa 2 nilipigiwa simu mida kama ya saa 3 usiku na kutaarifiwa juu ya ugonjwa wa mtoto wa dada yangu aliyekuwa anakaa mkoani iringa. Mtoto yule wa miaka 11 aligongwa na gari ndogo akiwa anatoka shuleni akirejea nyumbani.
Dereva alifanya tukio kisha akakimbia na gari yake. Kutokana na mapenzi niliyokuwa naye kwake nikakusanya nguo zangu haraka haraka nikasema kesho lazima nianze safari ya kutoka mkoa huu niliopo niende Iringa kwa ajili ya kumfariji dada yangu.
Nikiangalia katika wallet yangu nina 20,000/= na hiyo ndio nauli ya kwenda pamoja na kurudi Iringa. Nikajisemea kimoyomoyo, isiwe kesi, ngoja niende kwa uncle wangu akaniongezee mkwanja kisha asubuhi niondoke na gari ya saa 12:00 asubuhi.
Huyu jamaa nilikuwa ninamuita uncle kwa sababu yeye ni kabila moja tu kama mimi yaaani ni MJALUO wa Wilayani RORYA mkoa wa MARA na anafamiana sana na baba yangu kwa maana walicheza na kusoma wote ila tukaja kukutana mkoa huo nilioenda kusoma chuo.
Basi mimi huyoooo nikatoka zangu Hostel mpaka kwa uncle ambaye alikuwa anakaa mbali kidogo na nilipokuwa ninaishi mimi ila ni sehemu ya kutembea kwa miguu tu (walkable distance) kama mwendo wa 45 minutes hivi. Sawa bwana, nikaanza safari ya kwenda kwa uncle, nikafika salama nikamueleza yalinomsibu dada yetu yule pamoja na mtoto wake.
Uncle alipigwa na butwaa sana kwa maana anamjua sana yule mtoto kwa sababu wakati mama yake anajifungua miaka 11 iliyopita na yeye pia alikuwa Iringa kikazi. Baada ya kula chakula na kupiga stories mbili tatu basi uncle akaingia mfukoni akatoa elfu kumi kumi nne (40,000/=) kisha akanipa hivyo jumla nikawa na 60,000/=.
Daaah licha ya kupata support ya uncle bado pesa ikawa haitoshi kwa nauli ya kwenda, kurudi pamoja na pesa ya kumpa dada kama support katika kumuuguza mtoto. Kumbuka hapo mtoto amelazwa hospitali ya mkoa wa Iringa. Nikasema sawa ngoja niende tu hivyo hivyo huku nikiamini kwamba Mungu atafungua milango ya neema.
Sawa, nikasimama nikaanza kumuaga uncle kisha niondoke. Sasa wakati nimesimama nataka kuondoka uncle akaniangalia sana usoni kisha akaniambia uncle embu usiondoke kwanza, kaa hapo tuongee jambo moja dogo. Kumbe uncle alikwishaniona nilivyokuwa nina mawazo chungu nzima kichwani mwangu juu ya safari ya kesho.
Mazungumzo yakaanza awamu ya pili huku ucle akiniambia hivi, "mjomba, ninaomba uniwie radhi sana kwa kiasi hicho nilichokupa kwa maana biashara zangu na mimi zimeyumba sana sasa hivi.
Sasa uncle, badala ya wewe kufunga safari kwenda Iringa kesho asubuhi, kwanini usichukue hizo pesa zako kisha ukamtumia dada yako, zikamsaidia katika gharama za matibabu ya mtoto alafu wewe uje kwenda kumuona mtoto baada ya kufunga chuo? Kwa maana na mimi biashara zangu zitakuwa zimenyanyuka kidogo nitakupa nauli utaenda ukae huko likizo nzima.
Hapo utakuwa umeua ndege wawili kwa jiwe moja" Nilimwambia uncle sawa, basi ngoja nikafikirie ushauri wako kisha nitaufanyia kazi. Basi yeye pia akakubali na sote tukaagana, mimi huuuyooo nikaondoka.
Baada ya kufika hostel nilitafakari sana ushauri ule wa uncle kabla ya kwenda kulala. Ilivyofika asubuhi kesho yake mimi huuuyooo mpaka Bank (kipindi hicho mobile money hakuna mdogo wangu acha kutoa macho na kujiuliza eti kwanini haukutuma kwa m-pesa au Tigo Pesa).
Nilimtumia dada zile pesa katika account yake, na hakika zilimsaidia sana na mpaka yeye akashukuru kweli (sipendi kumsaidia mtu kisha nikamtangaza kwa watu. Nimeamua kutangaza msaada niliompa dada yangu kwa maana ni sehemu ya mkasa. When helping the poor, please leave camera at home).
Mtoto alipona kisha nikaenda kumuona kwa msaada wa fedha ya nauli kutoka kwa uncle, ingawa mtoto alikuwa na makovu kadhaa mwilini, ila yaliendelea kupona taratibu taratibu.
Hakika uncle hakuwa na fedha ya kutosha kwa wakati ule lakini ushauri wake ulikuwa na thamani mara 3 kuzidi pesa niliyomuomba.
USISAHAU: ENDELEA KUWA MZALENDO IPENDE TANZANIA. USICHAFUE TASWIRA NJEMA YA TAIFA LAKO. USTAWI WA NCHI YETU UNAANZA NA WEWE. TIMIZA WAJIBU WAKO IPASAVYO.
Mimi ni mkubwa kidogo mkuu...ukistaajabu ya musa utaona ya firauni Mimi nilijuaga ww chalii kama mimi,,
Achana na CHADEMA wanatumia vibaya ruzuku ya kodi za watanzania njoo ccm kwa wapenda maendeleo.Mimi ni mkubwa kidogo mkuu...
Lissu alikuwa anawatetea Mabeberu bungeni waendelee kuchimba madini yetu huku Rais Magufuli akitutetea sisi wanyonge.Shikamooni wakubwa zangu wote wa hapa JamiiForums.

Mkongwe kidogo sio sana mkuu. Humu kuna watu walizaliwa mpaka mwaka 1961...Upo Chuo wakati m pesa Hakuna ww ni mkongwe
Mtetezi halisi wa wanyonge huwa anyongi wanyongeLissu alikuwa anawatetea Mabeberu bungeni waendelee kuchimba madini yetu huku Rais Magufuli akitutetea sisi wanyonge.
Mpaka wa 1950's ambao vyuo walimaliza early 1980'sMkongwe kidogo sio sana mkuu. Humu kuna watu walizaliwa mpaka mwaka 1961...
Hahahahahaaa daaah aisee, hakika JF ni Wilaya/jimbo kamili.Mpaka wa 1950's ambao vyuo walimaliza early 1980's
CCM vs CHADEMAMtetezi halisi wa wanyonge huwa anyongi wanyonge
Oct 28 Ni kipimo cha uwezo wa kufikiri wa watzCCM vs CHADEMA
Wema ni akibaBrother tenda wema nenda zako.
Baadhi wapo hivi kweli kabisa mkuu...Nilichojifunza kwenye maisha yangu kuna baadhi ya wana familia bora usiwasaidie manake usoni na alivyo moyoni ni vitu viwili tofauti.