Kuna mtu anaweza asikupe pesa kwa sababu hana kwa wakati huo lakini akakupa ushauri wenye thamani kuliko pesa uliomuomba

Kuna mtu anaweza asikupe pesa kwa sababu hana kwa wakati huo lakini akakupa ushauri wenye thamani kuliko pesa uliomuomba

Ndio mkuu. Ninajivunia asili yangu na kamwe siwezi kuionea aibu...
Wajaluo ni watu niliosoma nao pale shy town.Kuna wajaluo magiant Ila hawajawekeza katika kikapu, ngumi, Moira nk.Jaluo tumieni mili yenu vizuri katka michezo.Utashangaaa watu wa pwani ndio wamewekeza ktk michezo na ngumi jaluo,sukuma, masai wametulia tu.
 
Michezo ni vipaji na sio suala la Physical Appearance ya mtu.

Ndio maana familia ya akina Matumla watu wa Tanga walifanikiwa sana kupitia boxing lakini bondia Mada Maugo wa Rorya amechemsha.

It's all about the talent and not physique.
 
Kwa nini mabondia Marekani ,Uk,Russia mwili mkubwa sisi vimbaumbau.Kuna Mbongo anaweza kupigana na Antony Joshua,au Deontey wilder, au Tyson Fury hayo majamaa on majitu ya miraba minne sisi tunaokoteza vibondio feather weight mpaja lini? Talent zinakuzwa na kujengwa.Kwa nini Masai Kenya na etheopia wakimbiaji wazuri Tz Hamna kitu hali ni jamiivile ile.
Tunatakiwa tuandae watu kulingana na sifa zao.Sudan, Senegal inapeleka NBA sababu kubwa ni Urefu wao.Tuache blah blah kuokoteza watu ukubwani.
 
Prince Naseem bondia wa Uingereza pia ni miraba minne?...
Ndio maana sikumtja, huwezi kumuweka kwenye mabondia wanaoleweka hatsla 50 bora hayumo ni kenge anaepigana uzito mdogo.Tangu lini muhindi akawa miraba minne Huyo ni wakwako we we kama matumla au mwakinyo.
 
Ndio bora apitishwe tu amefanya kazi kubwa kumpinga Magufuli ni kujidhalilisha tu.
 
Kupigia kura aliyetumwa na Wazungu hadi mababu na mabibi watanilaani Kura na Rais Magufuli tu.
 
Mkuu kumbe ww ni mtu mzima Sana kwangu, Shikamoo ukistaajabu ya musa utaona ya firauni Mimi nilijuaga ww chalii kama mimi,,

Upo Chuo wakati m pesa Hakuna ww ni mkongwe, ile Salaamu ya wakubwa zangu uiache Mkuu

Shikamoo na nisamehe kwa kukuona ww level zetu 97
 
Magufuli haitaji kupiga kampeni Mkuu hata akikaa ofisini lazima achaguliwe kwa kishindo Kazi zake zinambeba.
 
Ajenda ya upinzani ni kupinga maendeleo na kumtukana Rais Magufuli.
 
Ninavyojua Rais Magufuli anatembea kwenye viatu vya Nyerere.
 
Achieo maber ainya hahahahahaaaaa.

Karibu sana Rorya mkuu.

Ingima??

Shukrani mkuu,

Rorya Nilifika huko 2012, Shirati mbele mbele kijiji cha Bubombi. Nilikuja kupiga ndondo those days when football was a food.

Tulikiwasha hatari. Kuanzia Tarime chuo cha ualimu, tukaja bubombi (Rorya) tukamalizia Musoma mwalimu nyerere fainali tukafungwa na Polisi Mara.
 
Back
Top Bottom