Infantry Soldier
JF-Expert Member
- Feb 18, 2012
- 15,892
- 16,476
- Thread starter
- #41
Achieo maber ainya hahahahahaaaaa.Uchionade?
Karibu sana Rorya mkuu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Achieo maber ainya hahahahahaaaaa.Uchionade?
Nifanye acknowledgement kivipi mkuu?Fanya acknowledgement
Wajaluo ni watu niliosoma nao pale shy town.Kuna wajaluo magiant Ila hawajawekeza katika kikapu, ngumi, Moira nk.Jaluo tumieni mili yenu vizuri katka michezo.Utashangaaa watu wa pwani ndio wamewekeza ktk michezo na ngumi jaluo,sukuma, masai wametulia tu.Ndio mkuu. Ninajivunia asili yangu na kamwe siwezi kuionea aibu...
Michezo ni vipaji na sio suala la Physical Appearance ya mtu.Wajaluo ni watu niliosoma nao pale shy town.Kuna wajaluo magiant Ila hawajawekeza katika kikapu, ngumi, Moira nk.Jaluo tumieni mili yenu vizuri katka michezo.Utashangaaa watu wa pwani ndio wamewekeza ktk michezo na ngumi jaluo,sukuma, masai wametulia tu.
Kwa nini mabondia Marekani ,Uk,Russia mwili mkubwa sisi vimbaumbau.Kuna Mbongo anaweza kupigana na Antony Joshua,au Deontey wilder, au Tyson Fury hayo majamaa on majitu ya miraba minne sisi tunaokoteza vibondio feather weight mpaja lini? Talent zinakuzwa na kujengwa.Kwa nini Masai Kenya na etheopia wakimbiaji wazuri Tz Hamna kitu hali ni jamiivile ile.Michezo ni vipaji na sio suala la Physical Appearance ya mtu.
Ndio maana familia ya akina Matumla watu wa Tanga walifanikiwa sana kupitia boxing lakini bondia Mada Maugo wa Rorya amechemsha.
It's all about the talent and not physique.
Kila mmoja wetu ana namna yake alivyoumbwa na Mungu...Kwa nini mabondia Marekani ,Uk,Russia mwili mkubwa sisi vimbaumbau.
Wapo wengi sana wanaoweza kupigana...Kuna Mbongo anaweza kupigana na Antony Joshua,au Deontey wilder, au Tyson Fury
Prince Naseem bondia wa Uingereza pia ni miraba minne?...hayo majamaa on majitu ya miraba minne sisi tunaokoteza vibondio feather weight mpaja lini?
Ndio maana sikumtja, huwezi kumuweka kwenye mabondia wanaoleweka hatsla 50 bora hayumo ni kenge anaepigana uzito mdogo.Tangu lini muhindi akawa miraba minne Huyo ni wakwako we we kama matumla au mwakinyo.Prince Naseem bondia wa Uingereza pia ni miraba minne?...
Mtaokota maitiWapo wengi sana wanaoweza kupigana...
Sawa, nilikuwa sijui hilo mkuu...Mkuu kumbe ww ni mtu mzima Sana kwangu,
Marhabaa mdogo wangu...Shikamoo
Achieo maber ainya hahahahahaaaaa.
Karibu sana Rorya mkuu.