Kuna mtu anaweza asikupe pesa kwa sababu hana kwa wakati huo lakini akakupa ushauri wenye thamani kuliko pesa uliomuomba

Hao walikuwa wanatumiwa na Mabeberu sasa Mabeberu yamewaingiza king baada ya kukubali uzalendo wa Rais Magufuli.
 
Shukrani mkuu,

Rorya Nilifika huko 2012, Shirati mbele mbele kijiji cha Bubombi. Nilikuja kupiga ndondo those days when football was a food.
Hongera sana mkuu wa kufanya ziara Rorya...
 
Hii Nchi imetoka mbali yale mawazo na ndoto za Nyerere yanaanza kutekelezwa na Rais Magufuli.
 
Lissu alikuwa anawatetea Mabeberu bungeni waendelee kuchimba madini yetu huku Rais Magufuli akitutetea sisi wanyonge.
 
True kuna rafiki yangu alikwama nauli alipoenda dodoma kwenye interview aliowategemea watampa wakamkwamisha na simu awapokei nikampa ushauri wa kukopa kupitia huduma za kukopa za simu akakopa akafanya nauli akanishukuru Sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…