Kuna mtu anaweza asikupe pesa kwa sababu hana kwa wakati huo lakini akakupa ushauri wenye thamani kuliko pesa uliomuomba

Okay
 
Pamoja sana mdogo wangu wala usihofu
 
Alikuwa ni moja kati ya washauri wangu wa karibu sana.
Mi mwenzenu sinaga washauri kwenye maisha au ndio sababu nakwama?!.
Maana baada ya kusoma hapa nikafanya rejea za fasta fasta kwa watu wangu wa muhim starting with my father wote wana washauri wao 😁.Af kuna brother angu mmoja yy ni pastor huwa anani offer sana hiyo opportunity kwamba nim consult anytime for anything nikihitaji ushauri ila waaapi naonaga am just fine.!..
Sasa hii comment yako umenifanya nijiulize labda mi na deal with petty issues ndio maana am doing on my own?!!πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Utampa ushauri gani akuelewe mdada aliekuomba hela yakusuka anakwambia nywele zimeanza kukatika anataka akafumue asuke,ni neno gani litamuingia huyo mdada eti?
 
Utampa ushauri gani akuelewe mdada aliekuomba hela yakusuka anakwambia nywele zimeanza kukatika anataka akafumue asuke,ni neno gani litamuingia huyo mdada eti?
Mwambie kuwa kusuka sana kunasababisha nywele kukatika. SHe needs to let her scalp breathe kwa week tatu. Na pia hakikishe ana moisturize kichwa chake ili scalp irudishe hali yake ya kuzalisha mafuta ya asili ambayo hufanya hair roots kuwa strong.
 
We jamaa unaandika vitu vya maana vyenye mafunzo sema ni vile watu washavurugwa na wabunge wa viti maalum. Jah De Bless
Asante sana mkuu. Pia ninakaribisha ukosoaji utakaonijenga (Constructive Criticism)
 
Mwambie kuwa kusuka sana kunasababisha nywele kukatika. SHe needs to let her scalp breathe kwa week tatu. Na pia hakikishe ana moisturize kichwa chake ili scalp irudishe hali yake ya kuzalisha mafuta ya asili ambayo hufanya hair roots kuwa strong.
Well said
 
You can give it a try bro...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…