Kuna mtu anazurura na Hummer EV hapo mjini. Chuma hata kwenye kikokotoo cha TRA haipo!

Kuna mtu anazurura na Hummer EV hapo mjini. Chuma hata kwenye kikokotoo cha TRA haipo!

Mad Max

JF-Expert Member
Joined
Oct 21, 2010
Posts
26,961
Reaction score
77,890
Huko Coco Beach, sio mara moja, kuna mwamba anapita pita na Hummer yake ya umeme namba E full kipupwe kama mufindi haigongi.
Screenshot_20250210-153710.png

Hana mbwembwe hajaweka personalized number plate.
Screenshot_20250210-153733.png

Ikumbukwe chuma inauzwa Tsh Mil 250 kwenda juu, hapo bila usafiri wa kuileta Bongo wala Ushuru wa TRA (ambao utakua approximately Mil 100+)!
Screenshot_20250210-153750.png

Hummer EV ina range ya kuanzia kilometers 450 kwenda juu kutegemea na model na ukubwa wa battery.
 
Huko Coco Beach, sio mara moja, kuna mwamba anapita pita na Hummer yake ya umeme namba E full kipupwe kama mufindi haigongi.
View attachment 3231977
Hana mbwembwe hajaweka personalized number plate.
View attachment 3231980
Ikumbukwe chuma inauzwa Tsh Mil 250 kwenda juu, hapo bila usafiri wa kuileta Bongo wala Ushuru wa TRA (ambao utakua approximately Mil 100+)!
View attachment 3231982
Hummer EV ina range ya kuanzia kilometers 450 kwenda juu kutegemea na model na ukubwa wa battery.
Jamaa wala havimbi ila kuna watu wana spacio ila mvimbo wake sasa.
 
Kupata kn 450 kwenye gari ya umeme unaweza kununua umeme wa bei gani?
Kwa gari kama Hummer, ambalo ni kubwa na zito, halipo efficiency sana.
Hii ina efficiency ya 2.6 km kwa kWh. Yaani unit moja ya umeme inaenda kilometa 2.6 kwahiyo kwa kilometa 450 utatakiwa uwe na unit 173 ambazo ni kama Tsh Elfu 60.

Ila gari kama Tesla model 3 ina efficiency ya 7-8 km kwa Kwh. Yaani unit moja ya umeme unaenda kilometa 7-8.
Hii inatokana na uzito na drag coefficient, kwahiyo kwa izo kilometa 450 ukiwa na Tesla utatakiwa utumie unit 56 ambazo ni kama Tsh 20,000/=

Efficiency ni kama unavyosema fuel consumption ya gari.
 
Back
Top Bottom