Jamaa wala havimbi ila kuna watu wana spacio ila mvimbo wake sasa.Huko Coco Beach, sio mara moja, kuna mwamba anapita pita na Hummer yake ya umeme namba E full kipupwe kama mufindi haigongi.
View attachment 3231977
Hana mbwembwe hajaweka personalized number plate.
View attachment 3231980
Ikumbukwe chuma inauzwa Tsh Mil 250 kwenda juu, hapo bila usafiri wa kuileta Bongo wala Ushuru wa TRA (ambao utakua approximately Mil 100+)!
View attachment 3231982
Hummer EV ina range ya kuanzia kilometers 450 kwenda juu kutegemea na model na ukubwa wa battery.
Bora spacio ina kanafasi, mi hapa nna ka Terios Kid tu ila sipendi kusalimiwa salimiwa, na nimevimba hadi mashavu...Jamaa wala havimbi ila kuna watu wana spacio ila mvimbo wake sasa.
lift tunapata kweli? πBora spacio ina kanafasi, mi nna Terios Kid sipendi na kusalimiwa salimiwa, nimevimba hadi shavu...
Kwa gari kama Hummer, ambalo ni kubwa na zito, halipo efficiency sana.Kupata kn 450 kwenye gari ya umeme unaweza kununua umeme wa bei gani?
Kabisa mkuuπππ Atasema mvue viatu
Kivipi mkuu,naomba kuelewa hapoKuweka personalized number plate amejua kuwapiga TRA kwenye mshono.