Kuna mtu anazurura na Hummer EV hapo mjini. Chuma hata kwenye kikokotoo cha TRA haipo!

Kuwa na Hummer EV Bongo tu ni mbwembwe squared, sasa unataka aweke mbwembwe za kitoto za number plate za nini?
 
Baadhi ya wafanyakaz wa TRA wakiona Chuma Mpya Latest Version wantrack plate No. next waananza kumfuatilia mmiliki anafanya biashara gani, bank accounts ana sh. ngap & anamiliki asset ngapi
Kwani iyo ilivyo hawaezi ifuatilia? Hawaezi ipata kwenye mfumo??? Iyo gari ina namba na tra wanazo wakizotaka wanazipata
 
Hii ngoma ya 2024 iko pekeyake bongo.. Ila tulio na chuma za 2015 tunavimba kama chura mwenye ghadhabu😂😂😂
 
Hata hiyo tsh 60,000 kwa km 450 bado ni ndogo sana kwa kweli
 
TRA wanatoza ushuru kwenye zilizotumika nje ya nchi “used motor vehicle valuation system”
Gari mpya kwa maana haijawahi kusajiliwa tangu kutengenezwa hazina mfumo huo wa kodi bali hulipia baadhi ya services levy za bandarini,
Electric Vehicle Cars ni Tax exempted iwe mpya au used utalipia port charges tu, namaanishi zile gharama za kutoa kwenye meli na parking

mfumo wa kukadiria kodi unatumika kwa gari used tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…