Kuna mtu hivi tunavyoongea kalala na mkewe mzungu wa nne

Kuna mtu hivi tunavyoongea kalala na mkewe mzungu wa nne

Njoo inbox
Nikupe mtonyo wa talaka fasta
Uwe muwazi tu kwenye mali

Kuna talaka zingine unaishia kuteseka kama hamjachuma pamoja...kama.alijenga mkiwa ndani ya ndoa chenu..iwe kaiba kafanyakazi....
Hapana tushazoeana hatuachani kila mmoja ruksa kwenda kufanya utalii wa nje 😹😹😹
 
ukiona mwanandoaaa yuko mida hii na simu ujue kama hakijawaka kiinakaribia
@natania2
Jamani mie mapanya tu yakisikia naanza tendo la nndoa kama yanatuona

Yanavyopishana kwenye cylingboard kama wako kwenye mwendokasi

Allahtusaidie
 
Hitimisho Sasa...! Mjadala Ufungwe kama ifuatavyo..

Kwa Kuwa Mnyaazi Mungu ametuambia ishini na Wake zenu kwa Akili..!

Ukiona Wewe huwezi kuingia kwenye ndoa , basi jihesabu kuwa akili zako hazijatimia...!
Ndo Maana umeshindwa kuingia kwenye ndoa..!

Ndoa ni Kipimo cha AKILI!

Sijawahi kumuona Mzee wa Zaidi ya Miaka 70 anajisifu kuwa Yeye ni Shuja wa Kampeni ya KATAA NDOA huku bado ni Bachelor, almost Wote wanajuta tu.....na Majuto ni mjukuu...!

FAINALI UZEENI .....!
 
Hitimisho Sasa...! Mjadala Ufungwe kama ifuatavyo..

Kwa Kuwa Mnyaazi Mungu ametuambia ishini na Wake zenu kwa Akili..!

Ukiona Wewe huwezi kuingia kwenye ndoa , basi jihesabu kuwa akili zako hazijatimia...!
Ndo Maana umeshindwa kuingia kwenye ndoa..!

Ndoa ni Kipimo cha AKILI!

Sijawahi kumuona Mzee wa Zaidi ya Miaka 70ajisifu kuwa Yeye ni Shuja wa Kampeni ya KATAA NDOA huku bado ni Bachelor, almost Wote wanajuta tu.....na Majuto ni mjukuu...!

FAINALI UZEENI .....!
Na hao wanaoteseka ndoan hawana akili.?
Amna uhakika kama huyo mke utazeeka nae shem kamuacha bro bila sababu za msingi na ana watoto 2.wanasubr mahakama kugawa mali na watoto.
 
Na wengine wanatafutwa
 
Attachments

  • IMG-20240916-WA0000.jpg
    IMG-20240916-WA0000.jpg
    57.5 KB · Views: 1
Back
Top Bottom