Kuna mtu hivi tunavyoongea kalala na mkewe mzungu wa nne

Pia , Kuna Wale Wanaoinjoi ndoa...!

Watoto wapo wanasoma vizuri, muendelezo wa Vizazi...!

Heshima tele kama Mama na Baba wenye ndoa zao....!

Basi kila mtu afanye anachokiona bora.

Kupanga ni Kuchagua..

Ama uzeeke Msela nondo, au Singo Maza au Singo Faza au mtu wa Familia...!
 
ni wachache
 
Back
Top Bottom